Ni kweli kwamba mji wetu una slum zaidi ya moja. Lakini cha ajabu ni kwamba dar es salaam yote ni slum. Ukitoka nje ya cbd ni slum tupu, ndio maana hamletangi picha za mitaa zenu humuYani nimeudharau mji wenu kumbe una slum zaidi ya moja. Leo mimi naliamsha dude.
Lool nimeiona kicc hadi rahaMukuru-nairobi
Yani siamini binadamu wanaishi hapa. Hata refugee camps ni afadhali.View attachment 671710 View attachment 671711 View attachment 671712 View attachment 671713
Ni kweli kwamba mji wetu una slum zaidi ya moja. Lakini cha ajabu ni kwamba dar es salaam yote ni slum. Ukitoka nje ya cbd ni slum tupu, ndio maana hamletangi picha za mitaa zenu humu
Wasamehe mkuu..Haha punguza povu dude ulilianzisha mwenyewe.
Nahapo bado nikipata mda naongeza nyingine
LDC ni IPI?america is DC, kenya iko level ya LMDC😀😀
umeona tofaut hapo😀😀😀😀
List of slums - WikipediaNi kweli kwamba mji wetu una slum zaidi ya moja. Lakini cha ajabu ni kwamba dar es salaam yote ni slum. Ukitoka nje ya cbd ni slum tupu, ndio maana hamletangi picha za mitaa zenu humu
kuna faida gani au ukweli gani wa kua LMDC ikiwaLDC ni IPI?
Ala! Mpaka kuna umeme huku kweli KENYA iko 80% electrified. Leta zingine kaka just to clarify kuna stima humo.Mukuru-nairobi
Yani siamini binadamu wanaishi hapa. Hata refugee camps ni afadhali.View attachment 671710 View attachment 671711 View attachment 671712 View attachment 671713
[emoji23] [emoji23] nyuma ya paziaHaha eti Town centre[emoji23][emoji23]
Naona Britam tower kumbe Nyuma ni upupu mtupu. ..21st century
Jamaa kumbe ndio huongea wakiwa humo [emoji23]Mukuru-nairobi
Yani siamini binadamu wanaishi hapa. Hata refugee camps ni afadhali.View attachment 671710 View attachment 671711 View attachment 671712 View attachment 671713