Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni mchezaji, wewe ni referee, wewe umemaliza kila kitu. Ukubwa wa Dar, ni mara tatu ya Nairobi, kwahiyo nikisema Masaki, inaweza kuwa ni 40% ya Nairobi, wewe unaangalia idadi ya sehemu bila kujali ukubwa wa eneo.

Tanzania malengo yetu ni kuongeza middle income na sio higher income, ndiyo sababu nikakutajia maeneo mengi sana ya middle income, kule Oysterbay na Masaki nilitaja Diplomats na wazungu

Kumbuka kwamba, Tanzania hatuna tofauti kubwa ya kiuchumi, ndiyo sababu hatuna Masikini wengi kama Kenya. Kitu ambacho huwa ninawadharau sana wakenya ni kuona ni kwa jinsi gani mnavyosifia kuwepo kwa matajiri wachache wakati wananchi wenu wengi zaidi wanaishi kwenye slums za kutisha, ingekuwa hizo slums zipo Tanzania, tungejisikia vibaya sana kushabikia maisha ya matajiri wachache wakati millions mwananchi anaishi maisha ya ajabu na aibu kama hizo slums za Kenya. Are you Kenyans mentally ok?
MV dar es salaam
View attachment 671269

where is mv mombasaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hebu weka picha za hizo middle income Manzese na Mbagala sindano ituingie.
 


most of the areas in Tanzania zinakaa tu hivo......hawa wasee wako down to sana.....they aren't ldc by mistake
 
I guess America's capital, Washington DC has nothing on Kisumu let alone Nairobi! I guess Your dreams are "valid" or should we say stupid?
Washington DC is fed by an interchange, Kisumu and Nairobi has an Interchange therefore both countries are in the same track. Does Tanzania have an existing one so far?
 
mmeanza kuunda estates angalau...that's good ......mkiunda kama estates elfu moja kama hizo mnaweza kujitoa katika kundi la fedheha
tafuta town kama hio kenya nzima ukiipata naomba unitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

5000 units of each kind ukiipata kenya unitagπŸ˜€πŸ˜€
 
tafuta town kama hio kenya nzima ukiipata naomba unitagπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

5000 units of each kind ukiipata kenya unitagπŸ˜€πŸ˜€
lol........just Google all the gated communities in Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…