Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna umuhimu shirika lijiendeshe kibiashara , tuachane na mentality za kusema haiwezekani
Lengo la reli ni kusafirisha mzigo kwa reli na kupunguza foleni na maroli barabarani kwa gharama nafuu.

Hawawezi tena na wao kununua maroli.

Kutakuwa hakuna maana ya reli.
 
Let's compare your monthly passengers with Kenyan monthly passengers.
 
Huu ndo muda wa trc wangejiongeza ilitakiwa waweagiza trucks za lng kwa ajili ya kutoa mzigo isaka kwenda Kampala na treni ya mizigo ianze shushia makutupora wafanye transfer kwenda mgr
ndo pla iliopo ila yenyewe inavotakiwa kua ni kuna kituo kipo apo katikatik wamepewa congo wenyewe, alafu kuna burundi nao, rwanda, zambia ndo wanataka sasa hawa wengine nao wapate bandari kavu ya pamoja
 
Uzuri ya Kenya huwa hatubebwi ufala. Yani kelele ya siku moja imefanya bei ya petrol and diesel ikarudi chiniπŸ˜‚πŸ˜‚

 
CCM Kirumba Stadium, alafu mnasema Tanzania has better Stadiums than Kenya?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Kelele za sijui CAF, sisi tunatambua FIFA bana, CAF ni wa nchi ndogo ndogo kama bongoslum. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


View: https://x.com/ntvkenya/status/2044460032516030677?s=20
Hii Ingekuwa Bongo hatungepumua hapa πŸ€£πŸ€£πŸ€£β€¦ ungesikia ati FIFA inajua nani bingwa wa Mpira na hadithi zingine za ufala … then they would make sure to repost this every day next to Kibera β€¦πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…