Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hilo ni jukumu lako sasa,ikiwemo kujua ni aina gani ya basi na eneo pia.
 
Hilo ni jukumu lako sasa,ikiwemo kujua ni aina gani ya basi na eneo pia.
Wewe ni shenzi type kabisa, a typical Tanzanian for that matter. The above news was trending all over kenya and even a primary school kid alikuwa na habari. Umefurahi sasa?
 
How many times have you called things under construction in kenya renders. Ni chuki inakuumiza ama maana halisi ya render ndo hujui?
ndio utuoneshe sasa hzo underconstruction cha kuskitisha zaidi ziko nairobi hapo hapo lakin hazionekaniπŸ˜€πŸ˜€

nakutaftia picha tulia ujenzi uko dodoma sio darπŸ˜›πŸ˜›
 
Hakuna construction ndio kwanza wanafanya review za designs. Waliona ya Chattle ndio muhimu zaidi hiyo ndo iko under construction naskia Rais ataifungua rasmi soon.
unauhakika unachoongea???
 
Sasa ulivyo mjinga ukisikia under construction,unaelewa nini,kama ni barabara watu wanapima itapita wapi na itakuwa na ukubwa gani utaitaje???

Inonekana nawewe ni miongoni mwa wale wajawazito walioshika mimba baada ya kujengwa uwanja wa ndege chato.
Povu la nini asubuhi yote hii LOL! Napinga na nitaendelea kupinga pointless and unbudgeted use of state resources. INTERNATIONAL AIRPORT IN CHATTLE? Who even knows where CHATTLE is on the map?
FYI hiyo msalato airport haitokuja jengwa before 2020.
 
1500MW 2016 kumbuka kinyerezi one ilikua bado kinyerezi 2 so add 1500MW + 180MW+ 100MW wind project singida, jibu lako rahisi sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

ukishapata jibu jumlisha hzi project tunazipokea mwaka huuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Povu la nini asubuhi yote hii LOL! Napinga na nitaendelea kupinga pointless and unbudgeted use of state resources. INTERNATIONAL AIRPORT IN CHATTLE? Who even knows where CHATTLE is on the map?
FYI hiyo msalato airport haitokuja jengwa before 2020.
kwanza chattle ni nini????πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
hebu tuanzie hapo
 
Povu la nini asubuhi yote hii LOL! Napinga na nitaendelea kupinga pointless and unbudgeted use of state resources. INTERNATIONAL AIRPORT IN CHATTLE? Who even knows where CHATTLE is on the map?
FYI hiyo msalato airport haitokuja jengwa before 2020.
Endelea kupinga,ila hala hala usijejifungua tu.
 
wewe huo uwanja unakuumia nini??? ushaambiwa serekali imeanza kuhamia dodoma sasa hapo usichoelewa ni nini??
 
Yap. I am tracking that project for some international companies so i am 100% sure.
kwanza tuanzie hapa chattle ni nini???
nisije nikawa napoteza muda kubishana na wewe kumbe kichwa nazi
 
wewe huo uwanja unakuumia nini??? ushaambiwa serekali imeanza kuhamia dodoma sasa hapo usichoelewa ni nini??
Huo uwanja ni WASTE OF RESOURCES. Eti Dodoma kuwa na uwanja wa kuhimili watu 90k. Bora hata ukajengwe Arusha au Mwanza.
Serikali kuhamia Dodoma ndio kusema kila kitu kihame? Huo ni ushamba naskia kuna watu wanasema mpaka maghorofa ya Posta yahamishiwe Dodoma. NKTiest!
Alafu huu ushamba wa kufanyia sherehe za kitaifa kwenye viwanja vya michezo tutauacha lini? Dodoma kunapaswa kujengwa CITY SQUARE maalum nzuri ya kuvutia preferrably kuwe na statue ya Nyerere au Mwenge wa Uhuru or something.
 
kwan serekali ya kenya ilioko nairobi si kila kitu kiko nairobi, ongea kitu ukiwa na uelewa mrefu,
sisi hatujengi kitu kiluangalia miaka 5 tunajenga kuangalia miaka 40 mbele, we unafkiri serekali ikishahakia dodoma fursa zote zi kiserekali zinahamia dodoma, balozi zitakua dodoma etc
 
uwanja wa dodoma unajengwa kwa phase na phase one kwa ajili ya kupanua na kuongeza runway umekamilika
Unajua kuna Dodoma Airport na Msalato International Airport. Sisi hapa tunazungumzia hiyo Msalato International. Dodoma Airport kale utafikiri ni kajumba ka mtu waiting lounge yake ndo sitting room haha watu 10 tu tayari kamejaa

Hiyo ni picha ya design ya Msalato ambayo ndo inafanyiwa review.
 
Unajua kuna Dodoma Airport na Msalato International Airport. Sisi hapa tunazungumzia hiyo Msalato International. Dodoma Airport kale utafikiri ni kajumba ka mtu waiting lounge yake ndo sitting room haha watu 10 tu tayari kamejaa
sasa kama unajua kuna msalato international airport wewe unaumia nini???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
sasa kama unajua kuna msalato international airport wewe unaumia nini???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Iweje CHATTLE ijengwe kabla ya Msalato? Utawahamisha mabalozi waende kakijiji ambacho hakana hata International Airport?
 
Iweje CHATTLE ijengwe kabla ya Msalato? Utawahamisha mabalozi waende kakijiji ambacho hakana hata International Airport?
chattle ni nini??? hebu nieleze?????
na hakuna sehemu tanzania inaitwa chattle, sasa nieleze chattle ni nini ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…