Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Huyo kenge asipokuelewa hapa tena bhas ujue ni kiburi tu Cha kinyang'au..

Mkuu uko vizuri kwenye kucheza na prompts.
 
Huyo kenge asipokuelewa hapa tena bhas ujue ni kiburi tu Cha kinyang'au..

Mkuu uko vizuri kwenye kucheza na prompts.
Hawana uelewa wa elimu ya uchumi ,ndo maana wao huona sifa kuwa high valued currency pasipokujua Siri nyuma yake.
Ke
 
Ina watu 300k na ipo outskirt na ni slum! 😳😳
Other world cities outskirt of the cities are all green and spacious
View attachment 3571021View attachment 3571022
Hapa tunapowaambia Kenya uchumi wao uko kwenye matumizi tu, unajenga majumban kwa watu ambao hawana vyanzo vya mapato, hiyo hela badala wangewekeza kujenga visima vya maji au kutengeneza irrigation schemes kwenye maeneo kama mandera na turkana ili kupunguza population ya Nairobi na kuboost economic activity kwenye hayo maeneo badala ya ku concentrate central na southern kenya
 
Bongo watu wanataka privacy ni ngumu kukuta mtu na familia yake akiishi kwenye nyumba za dizaini hii
Kwenye issue ya makazi Kenya wapo kwenye level ya necessity wakati Tanzania tupo kwenye level of convenience sio bora tu nyumba, je hilo eneo/nyumba lina preferences za owner! Wakati Kenya wao ni bora uwe na paa kujikinga mvua na jua!
 
Ndio tatizo za siasa za kikabila, kila Rais anapeleka maendeleo alipotoka, Nairobi ipo vile tu sababu ni capital city, national economic center na tayari Muingereza alishaiendeleza, Mombasa ni sababu ni national overseas economic gateway lakini kama si hivyo hata hiyo Nairobi ingekua sawa na Turkana sababu hakuna Rais alietawala Kenya mwenye asili ya Nairobi,

Unaweza kuona ni maeneo tu ya Marais walitawala Kenya ndio yenye afueni huko kwengine hakuna mtu mwenye interest napo
 
Hua munapenda kuropokwa until data iletewe then muanze kusema ni fake.

 
If you consume less, it only means you have a weak middle class. Pole sana kama hukujua. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Data huzikuti google bali kwenye reports. Mpaka hapo data zako zinakudanganya ,mpaka October total exports ilikuwa ni 16.6 bil usd with exports of commodity being above 10bil usd .
Katafute data zenu za Cbk ndo uje kulinganisha
 
The list is fictitious.
If you consume less, it only means you have a weak middle class. Pole sana kama hukujua. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Pole sana huwez kuwa na reccurent expenditure above 70 % halafu ukajisifia eti uko na middle income .
Na hapa unatakiwa uelewe unatakiwa uwe na production kubwa ili iendane na hiyo middle income uliyonayo. Na kama una middle income kubwa it means itaongeza importation of luxury goods, lakini kwa Kenya haiko hivyo mnaimport consumable goods kama vyakula .
Bahat mbaya tunawaelimisha wapumbavu kama nyinyi ambao hamuelewi .

Ukitumia remittance nyumbani inatumika kuwalisha na kununulia chakula na mavazi sio kwenye production , ndo maana government yenu inatumia pesa kustabilize ksh sababu exports haziwezi cover imports forex hasa pale kikiwa na free fall of ksh
 
kenya iko na multidimensional poverty mingi kuliko tanzania. Sababu ni kufuata sera za neoliberalism. Mwaka wa 2014 tulitolewa kwa program ya concessional loans na pumbavu Uhuru akaendea eurobonds. Kenya ilikubali sera ya green energy na kwa hivo kukubali deindustrialization.Economic future ikawa based on carbon credits. Shida ya kenya ni the elite class,ambapo hujiona wazungu weusi. Pale Tz hawatambui ni our education system ambayo ni hyper competitive.Inaamanisha human capital ni ya hali ya juu. Kenya ni namba tatu africa kwa ICT na namba moja kwa academic writing. Shida ni uchumi wetu ni rentier capitalist state.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…