pole sana ndugu yanguππππPower - TanzaniaInvest
The average electricity consumption per capita in Tanzania is 108kWh per year, compared to Sub-Saharan Africaβs average consumption of 550kWh per year, and 2,500kWh average world consumption per year.
However, the demand for electricity in Tanzania is estimated to be growing at 10β15% per year, with currently only 24% of the total population having access to electricity.
hehehe alijua bado ni ile tz ya 90sππππKwahiyo wewe unaijua TZ kuliko sisi Watanzania!!?
where is 2016????πππππHiyo yako ni ya 2015 Mie nakupa ya 2016.
ndio kinyerezi 2 wanamalizia ujenzi itazalisha 300MWNasikia mwaka huu 300mw zinaingizwa kutoka kwenye vituo vya gas.
So what is so special with this bridge.....
hehehe maumivu yakuingie taratibu1350 MW kwa nchi ya watu 55 million..SHAME ON YOU
Uchumi mkubwa wa nchi ukukute na wewe unauchumi, utapokua maskini katikati ya nchi ya middle class ni upuuziLdc with a gdp of 55 billion usd itakuaje mzizi mkuu wa EA wakati Kenya iko? Hata wewe wajua hilo haliwezekani
Mwezi huu au wa pili mkandarasi wa bwawa kubwa lenye uwezo wa 2100mw atatangazwa na ujenzi utaanza. By 2020 tutakuwa na zaidi ya 4000mw.ndio kinyerezi 2 wanamalizia ujenzi itazalisha 300MW
Power Africa in Tanzania | Power Africa | U.S. Agency for International Development unatuletea blog hapa..thats USAIDhehehe maumivu yakuingie taratibu
Tanzania Extends Power Generation Capacity To 1,754 MW Thanks To Natural Gas - TanzaniaInvest
Kinyerezi III itakuwa na 6000mw. Hawa jamaa watatusikia tu. Bado hatujaanza kuigusa reserve ya uranium tuliyonayo bado makaa ya mawe nayo hatujayaongelea. Na viwanda vingi kwa sasa vinatumia makaa ya mawe na gas directtushindwe kufikisha 10,000MW 2025 kweli 441 trillion cibic feet of natural gas
View attachment 670356
what about thisππππPower Africa in Tanzania | Power Africa | U.S. Agency for International Development unatuletea blog hapa..thats USAID
usisahau stiglers gorge 2100MWππ na mwaka huu tunapokea mchumchuma coal 600MWKinyerezi III itakuwa na 6000mw. Hawa jamaa watatusikia tu. Bado hatujaanza kuigusa reserve ya uranium tuliyonayo.
Hizo nakwambia ni mvua za manyunyu tu. Bado hatujagusa makaa ya mawe. Bado hatujagusa nuclear yetu. Wee acha tu. Wenzetu hawana pa kukimbilia ni maskini wa kutupwa.usisahau stiglers gorge 2100MWππ na mwaka huu tunapokea mchumchuma coal 600MW
This is the government official web...only 30% connected under 1500 mWwhat about thisππππ
Tanzania Extends Power Generation Capacity To 1,754 MW Thanks To Natural Gas - TanzaniaInvest
now is 1500MW not 1300MW and it was 2016 ππThis is the government official web...only 30% connected under 1500 mW
Tanzania - Energy | export.gov