Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni aibu sana kwetu, a whole 8m out of 48m ppl wanakunya vichakani!


Lakini sijui hii ya hawa Wa 44m out of 54m ppl ni nini
*Improved* au haieleweki wanamaanisha toilet is used with more than one household. Kwa akili yako kweli watu million 44 wanaweza kuwa hawana vyoo.
 
Wakenya wanaishi Primitive life. Yaani wanajichukulia sheria mkononi. Huu ni ujinga wa hali ya juu
Jamaa wamechoma moto basi la Simba Coach






Wakenya wanaroho mbaya sana.
 
now is 1850MW kumbuka kinyerezi 2 under construction kinyerezi 3 and 4, kumbuka stiglers gorge dam under construction 2100MW kuna wind kuna coal haha tanzania nenda tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
asante kwanza sikujua eldort kuna airport nzuri namna hiiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€haya linganisha sasa na vibanda vyenuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
airport au godown la mitumbaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…