Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbezi beach is a middleclass neighbourhoods

Runda os owned by Runda estates Limited.
View attachment 3567980
Where is it stated that Runda estate is owned by a private company? It is cleared written the name was BORROWED from a coffee estate company that existed in the area BEFORE it(Runda) became a residential area. Ni kiingereza ndio huelewi ama nini?
 
Hii yote ni baada ya Tanzania NSSF kujenga huko Nairobi 😂😂😂 Yaani ninyi watu mna inferiority complex the same to the conference facility
Sasa Kwa hio akili yako Malenge unathani Ni mara ya Kwanza NSSF Kenya kujenga gorofa Nairobi😂. Hii hapa ndio Headquarters ya NSSF Nairobi 28 floors na ilijengwa mwaka wa 1973 Tanzania bado mkiwa stone age. Hio yenu ni 22 floors na mnapiga nduru
 
Attachments

  • IMG_7034.jpeg
    83 KB · Views: 32
Alafu cha kuhuzunisha ni kwamba hiyo yao wamekuja kujengea nchi jirani alafu wanashangulia badala ya kuhuzunika
 
Where is it stated that Runda estate is owned by a private company? It is cleared written the name was BORROWED from a coffee estate company that existed in the area BEFORE it(Runda) became a residential area. Ni kiingereza ndio huelewi ama nini?
SIna muda wa kukuelewesha takataka kama wewe unayejua ila unaanza fuvu.

Wakenya mko hivyo.

Soon utamuja haoa kusema Tatu city is owned by Kenyans.
 
Direct from the horse mouth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…