this is huge, kuna nchi kubwa duniani na soka lao halipo kwenye soko la hisa
sasa mzee hata mpira wao wenyewe mpaka tanzania waingilie kati ndo wanaona, kuna nchi tena apoπππ
View attachment 3567249
Bila azam huwezi ona mpira wao.πππsasa mzee hata mpira wao wenyewe mpaka tanzania waingilie kati ndo wanaona, kuna nchi tena apo
akishashiba mtura anakuja apa kutupigia keleleBila azam huwezi ona mpira wao.πππ