uwanja wenu ni mbayaaaa 🤣 🤣 🤣 yaani amna ata kitu modern🤣🤣🤣🤣
And who said it must be beautiful in your big, red eyes?
The thing i like about disagreements ni kukiwa na pesa, other wise you will be shouting things you dont know! I am more close to your government than you are, and i know kila wakikutana kwenye kikao cha mwezi what they talk about, you should be lucky unapata news mapema 🤣🤣He will go under like his mates Ichoboy and watchman Thebest007. Siku hizi wanachungulia dirishani
You have very big chances of being hostsBadly hio AFCON mtaskiliza kwenye redio 🤣🤣, chances zenu ni ndogo sana kua Host
Haina kitu morden? 😂😂uwanja wenu ni mbayaaaa 🤣 🤣 🤣 yaani amna ata kitu modern
Usiwe mjinga, hii hufanyika kila mwaka. Domestic tourists huhesabiwa by hotel bookings not by the events attended.
View: https://x.com/NyakundiReport/status/2039987604372770892
MY TAKE
wameanza ku-count internal travellers! Itabidi na sisi tuanze hii maneno! December watu wakienda ushago tunahesabu! Wakienda Zanzibar tunahesabu! Wakienda Kili marathon tunahesabu! Wakienda sauti za Busara, tuhesabu! wakienda Bongoyo Island na Pugu forest, tunahesabu! Morogoro Uluguru Mountains tunahesabu!
Najua unaumia sana ndo maaana hio picha ya msaada unaitumia sana 🤣 🤣 , for now jiandae sjui ni kesho kuna mechi kasarani uwanja ushakataliwa umebaki mmoja sasa 🤣🤣You have very big chances of being hosts View attachment 3566942View attachment 3566943
Taja alafu mm ntakupa 3 heavy things you can achieve from mkapaHaina kitu morden? 😂😂
I can list at least five features Talanta has that no stadium in Tanganyika has and will never have
Oh my 🤣🤣🤣🤣🤣The thing i like about disagreements ni kukiwa na pesa, other wise you will be shouting things you dont know! I am more close to your government than you are, and i know kila wakikutana kwenye kikao cha mwezi what they talk about, you should be lucky unapata news mapema 🤣🤣
najua uko depressed lalzima ucheke cheke ovyo, ndo mamaana u will have to use old arusha stadium photos na picha ya kuomba mkopo chinaOh my 🤣🤣🤣🤣🤣
We need a psychiatrist here asap!
evidence?Usiwe mjinga, hii hufanyika kila mwaka. Domestic tourists huhesabiwa by hotel bookings not by the events attended.
Does makwapa have LED advertising boards?Taja alafu mm ntakupa 3 heavy things you can achieve from mkapa
Sawa sawa nyamwezi, our new national intelligence service director who seats at the national security council and receives briefings 🤣najua uko depressed lalzima ucheke cheke ovyo, ndo mamaana u will have to use old arusha stadium photos na picha ya kuomba mkopo china
Morocco waliozitumia wako 18th century?
🤣 🤣 🤣Does makwapa have LED advertising boards?
Does makwapa have computerized hydraulic tension cable roof system similar to the Allianz Arena?
Does makwapa have LED media facade also similar to Allianz Arena?
Does makwapa have skyboxes?
Does makwapa have goal-line technology?
Is Makwapa purpose built for football only, bringing action closer to fans?
acha kujifanya fala, Onyesha uwanja wowote mpya waliojenga moroco ukiwa na plastic seats au hio world cup ni ya mwaka gan? and onyesha stadiums mpya za world cup zenye plastic seatsMorocco waliozitumia wako 18th century?
Na Qatar waliozitumia WC nao wako karne ya ngapi?
i just have friends there dont make it a big deal, but najua who to ask for any info thats importantSawa sawa nyamwezi, our new national intelligence service director who seats at the national security council and receives briefings 🤣
Fact ni kwamba uwanja wenu ni mbaya na hauna anything modern, not to even consider its the most expensive stadium on earth with plastic seats 🤣🤣, and whats funny huoni ata aibu kuuupost ukiwa na zile plastic seats 🤣Morocco waliozitumia wako 18th century?
Na Qatar waliozitumia WC nao wako karne ya ngapi?