Reasoning like someone who never went to school. Wewe unadhani tourist ni yule tu mzungu kutoka ulaya anayekuja nchi zetu?
View: https://x.com/NyakundiReport/status/2039987604372770892wameanza ku-count internal travellers! Itabidi na sisi tuanze hii maneno! December watu wakienda ushago tunahesabu! Wakienda Zanzibar tunahesabu! Wakienda Kili marathon tunahesabu! Wakienda sauti za Busara, tuhesabu! wakienda Bongoyo Island na Pugu forest, tunahesabu! Morogoro Uluguru Mountains tunahesabu!
Kila mtu anajua wakenya ni washamba wa kutupwa.Talanta haitajengwa, mark my words
Haitaisha
Haitafanana na render
Haitakuwa approved na CAF
Kipofu kaona mwezi 🤣🤣🤣🤣🤣
The pot calling the kettle black!Kila mtu anajua wakenya ni washamba wa kutupwa.
Are you a pot or a kettle?The pot calling the kettle black!
Nimedanganya wapi?ila si hiyo uliyo-quote! inadanganyanya!
I am Talanta HaitajengwaAre you a pot or a kettle?
tayar ashaenda viralsaafii ataenda viral!
i wish you knew how many kenyans wanalilia kuja bongo, ni vile tu Madame samia alivosema hakuna kufanya small business in tz walilia sana, hata mm nlishakuja kenya but mpaka leo sina any reason why i should go back there, inshort its an overhyped slumMitanganyika wanashobokea Nairobi kinoma hapa
View: https://youtu.be/1WwAfaAB2NQ?si=pZGBHitE7Xa53lJg
kwan si ni kwelTuliza kende nyamwezi
Ofcourse most of them i am connected to them in a way, thats how i know most of kenya newsWow! You even know about soprano 🤣🤣 this is getting interesting.
What's the name of your Vice President again?
Kwahio ulidhan kusogea izo ranking za friendly matches ndo mmekua wakubwa sana 🤣 🤣 🤣 , Tanzania football ipo million miles ahead of you 🤣, if only you knew how many kenyans want to play in tz, kwa kifupi nyie bado sana yaani mko chini vibaya mnoLeo ranking haina umuhimu wowote. Just a few days ago it mattered a lot na tulikuwa tunakumbushwa siku siku vile nyinyi ni magwiji wa mpira coz you rank above us. Being a nyamwezi is a curse!