stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 19,771
- 15,677
Huku wakenya watafika? Tanzania si muda mrefu itakuwa USA of East Africa kwenye movie. Mdogo mdogo tu.
Nimefuatilia movie mpya ya action ya Tanzania inazinduliwa leo pale mliman city cinema MY SON MOVIE
Inaonekana kali sana
View: https://www.instagram.com/p/DWf02bpDCO6/
Director ni mbongo kwel, cover nzito