Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sindano imekuingia, dawa imekuingia imebaki kutapatapa na kutokwa povu hadi uisome namba.
Hii ni aibu sana kwetu, a whole 8m out of 48m ppl wanakunya vichakani!

Lakini sijui hii ya hawa Wa 44m out of 54m ppl ni nini
 
kwanza nilishawadharau nilipoziona airport zao...yaani nje ya Dar ni vihaka tu..watu wanaishi msituni...hakuna basic infrastructure
Mimi nilisha wadharau muda sana wakenya kwa kujisaidia kwenye mifuko na kuwa na flying toilet. Mnatembea na vinyesi

Mimi nilisha wadharau muda sana wakenya kwa kujisaidia kwenye mifuko na kuwa na flying toilet. Mnatembea na vinyesi
View attachment 670171

nenda Soweto South africa na Mumbai India, lagos na Cairo utapata mambo hayo hayo...ila huwez pata nchi hizi airpirt zinakaa kama vibanda vya kuuzia mboga....kisha mnaita airportπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
nikiwaletea airport za town kama Isiolo mtashangaa ila ile ni town ndogo tu...kuna airport kali pia Malindi, Kisumu mombasa na Nakuru
 
nenda Soweto South africa na Mumbai India, lagos na Cairo utapata mambo hayo hayo...ila huwez pata nchi hizi airpirt zinakaa kama vibanda vya kuuzia mboga....kisha mnaita airportπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ukunda Airport Kenya

Hata wakenya wanaogopa sana.
Wakenya wakileta vya kuleta tunaichukua Mombassa.
Mombasa iliwahi kuwa koloni la Said Barghash kipindi akiwa Mtawala wa Zanzibar, baada ya mapinduzi na kabla ya muungano Karume ndio aliwarudishia kenya eneo lao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…