Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tukishakubaliana na hizi zenu, tunahamia Tanzania, utatulia tu, please confirm by July 2017 Kenya mpoa na 16200Km, data kawaida zinaishia July in our case, ila kama unataka kuongeza hiyo 650km hadi December 2017 to make 16850Km it is Ok, please confirm so that we can shift to Tanzania for verification.
 
Kwa hizo umetaja sioni yeyote ya Tz ambayo inaifikia hata ya Kenya....mkae nyuma yetu always ili tuwajambie kwa raha zetu stupid LDC...
 
Dude, stop changing goal post. Not one notable Tanzanian link to back your ballooned figures has been given yet you feel justified to ask for links?
 
Si uliona Maguful akijituma Ug na kibakuli kisha akasindikizwa na a mere Ugandan minister hadi kwa Airport arudishe kibakuli Tz.
Pwahahaha huyo jamaa ni ovyo sana...museveni akiongea na kenyatta, jamaa anaenda kuharibia
 
Kwa hizo umetaja sioni yeyote ya Tz ambayo inaifikia hata ya Kenya....mkae nyuma yetu always ili tuwajambie kwa raha zetu stupid LDC...
hawa mafala ni wajinga sana...mtu anakuletea mall ya Morocco na South Afrika ikusaidie vipi? mbona asilete ya nchi yake?😀😀😀😀😀
 
Pwahahaha huyo jamaa ni ovyo sana...museveni akiongea na kenyatta, jamaa anaenda kuharibia
Kenyatta Society
  • Jomo Kenyatta (1964–78)


  • Daniel arap Moi (1978–2002)


  • Mwai Kibaki (2002–13)


  • Uhuru Kenyatta (2013– )
 
hawa mafala ni wajinga sana...mtu anakuletea mall ya Morocco na South Afrika ikusaidie vipi? mbona asilete ya nchi yake?😀😀😀😀😀
Nchi yake haina such infrastructure just try and understand their bitterness.
 
Kwa hizo umetaja sioni yeyote ya Tz ambayo inaifikia hata ya Kenya....mkae nyuma yetu always ili tuwajambie kwa raha zetu stupid LDC...

Sasa wewe kweli na wewe huna akiki timamu .:we have a mall in mwanza which is 50k sqm ..two rivers is 62k sqm hyo difference ya 12k sqm ndo inakupa kiburi au we subir huo mwanzo tu kazi inaendelea
 
Nchi yake haina such infrastructure just try and understand their bitterness.
kwanza nilishawadharau nilipoziona airport zao...yaani nje ya Dar ni vihaka tu..watu wanaishi msituni...hakuna basic infrastructure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…