President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Hebu weka hilo jengo hapa tulione. Maana hapa Tanzania kuna majengo mengi tu makongwe ya masoko from Zanzibar, Dar es salaam, Bagamoyo and Kilwa. Weka tuthaminisheWe Mzee punguza upumbavu, the honeycomb design kama ya Marikiti ilijengwa in the 70's hata hizo picha umepost can confirm hio design haikua earlier.
Kabla hata ya hiyo Marikiti or anything. Huko kenya lilikuwa ni pori wanaishi fisi. Huku Tanzania Civilization ilikuwa inaendelea watu walikuwa wanauza na kununua soko la RhaptaWe Mzee punguza upumbavu, the honeycomb design kama ya Marikiti ilijengwa in the 70's hata hizo picha umepost can confirm hio design haikua earlier.
This is the richest city in this region bongolala.
The city with the biggest number of expats
The city with the biggest number of dollar millionaires
The entertainment capital of East Africa
The city that never sleeps
This is the heartbeat of East Africa
A dish ambalo original yake ni Tanzania. Nyie ni wakukopi tu na kupaste.I stopped reading when I reached here. 🤣🤣🤣🤣
You mean this is one of the entertaining things in Dar? Chips mayai? Kitu inapatikana even on the streets of Kenya's smallest towns. Enyewe siku ya nyani kufa...
Kwanini mtahost AFCON kwenye mji mmoja tu?Sawa Nyamwezi. Tanzania has a million billionaires. Happy now?
kumbuka nchi ni Ukunduni baba!Kwanini mtahost AFCON kwenye mji mmoja tu?
Why all stadia ziwr mji mmoja tu, hiyo miji mingine vipi?
Ndio inavyotakiwa, sio kama nyang’au kelele kila kukicha.Mambo yanaenda vizuri. Kimya kimya. Hatuna kelele
View: https://youtu.be/8tCKB17aAHg?si=GReqIxH5Rt3C98l8
Jamaa anajitahidi sana kuwekeza. Sidhani kama kuna Radio Studio hapa East or Africa nzima yenye miundombinu kama hii ya Wasafi FM
Mombasa is by far the most developed city along The East side of Indian Ocean
View attachment 3565700
Amka utajinyea budaa