Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



36% from your electricity supplier......zingine mmepika tu
 
36% from your electricity supplier......zingine mmepika tu
Tanzania ni moto, ukibahatika kufika Tanzania utakubaliana ni hizi data, by 2020/21, vijiji vyote vitakuwa vimeunganishwa, phase ya mwisho ya kusambaza umeme nchi nzima, imeanza rasmi September 2017. Tanzania itaungana na Sychells, Mauritius, Botswana na South Africa kuwa na universal electricity connection in Sub Sahara Africa.
 
Ninadhani kwenye umeme tumamalizana na nyinyi, kesho tutaingia kwenye barabara, huko ndiko balaa huko, alikotokea Magufuli. Tanzania motooooooooo
36% connectivity ndio kitu ya kumalizana nayo.....you are mad..!!
 


nilisafiri kwenda mwanza na kushuhudia maajabu tu.....ama kuna Tanzania nyingine nisiyoijua kando ya hii ya uchochole.....?

April napanga kuja arusha town
 
nilisafiri kwenda mwanza na kushuhudia maajabu tu.....ama kuna Tanzania nyingine nisiyoijua kando ya hii ya uchochole.....?

April napanga kuja arusha town
Arusha haitokupa picha kamili, wewe njoo hadi Dar, pitiliza hadi Mtwara, kusini Mashariki mwa Tanzania, Unganisha hadi Mbeya, Pandisha Chunya utokee Tabora, Ingia Dodoma, Singida, Babati, Arusha hadi Namanga, utakuwa umekamilisha 10,000 Km. Lami tupu, kasoro 300KM pekee
 
nilisafiri kwenda mwanza na kushuhudia maajabu tu.....ama kuna Tanzania nyingine nisiyoijua kando ya hii ya uchochole.....?

April napanga kuja arusha town

Hehe ukienda arusha usikose kupitia apo sakina, nliiuziwa nyumba hapo, 38m,tsh in 2015 mwishoni mwishoni hapo, ila nliinunua at 22m, nd fortunately sold it later at a profit! Tunawapenda tz bt mipango miji nawapa 0 mazee! Nice neighbourhood but no access roads at all jamani! Jipangeni upya dah..
 
WaTanzania mwaugua kwa kitu kiitwacho blind Nationalism Na uvivu Wa kusoma.
How Many Rural Tanzanians Have Power? – PesaCheck
Toka kwa ii hii tovuti yako, jamaa Gisima Nyamo-Hanga kakosolowe miropoko yake na hili


Read an entire article, the first 2 sentences ain't isht, there's a reason the author hakuchokea the 1st 2 sentences.
 
kisha toka kwa the very same link, the Government plans to connect half the country's population by 2030. if I'm not mistaken 50% is not equal to 100%, au shule walinidanganya?
 
Mbona unahangaika sana. Issue ya umeme iliisha jana. Leo tunaongelea barabara. Tuanze kazi sasa.
Hohoho, issue ya umeme itaisha 2030 mkisha achieve 90% electrification rates. kwa sasa longolongo yenu misifa ya kijinga kujingamba na msonacho ya dhihirika peupe. Tz has half Kenya's electrification rate.
 
Mbona unahangaika sana. Issue ya umeme iliisha jana. Leo tunaongelea barabara. Tuanze kazi sasa.
Na sasa Barabara ndio mtaweza?

Kenya has 14,420km of paved roads
The World Factbook — Central Intelligence Agency

Tanzania has 7611km of paved roads
Road Network Length and classification - Tanzania Mainland | roadsfund

Kenya has double the length of Tanzania's paved roads. Yet Kenya has half the area of Tanzania so we're talking of a 4 times more paved roads per sqKm in Kenya than Tanzania!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…