Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaumwa wewe, kwataharifa yako, sasa hivi tupo awamu ya mwisho kuunganisha vijiji vyote vilivyobaki, by 2020/1, tutakua tumefikia universal electrification, mtasubiri sana.
http://www.tanzaniatoday.co.tz/news/vijiji-vyote-kuwa-na-umeme-ifikapo-2021-dkt-kalemani
 
Mr ndinda .....what were you sayingc28e55ea58c5bdf4ba92483db6a951ce.jpg[/IMG

[IMG]http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/629697ad8eefb4dcda2ef6140616faf2.jpg

What exactly do you want to tell us . A road in which a pedestrian don’t know where to go after crossing? Dirty that mean other areas are a mess and the vehicles bring all those dirty mud on your new road ? Dirty, third world like the rest of third world cities. Just too much talking. The only thing Kenyans Know.









And see this in Dar es Salaam





























 
Wewe juzi nilikuitisha link ya kudhibitisha kwamba Dar ilihandle 17 tons ukaenda chini ya maji sasa leo waniitisha link! link si shida kwangu, hiyo nitakupatia ukitaka lakini kabla ya hapo, leta ile ya dar port nilikuitisha
umekosa link hahaha mm nilijua lazma uchange topic😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Uzuri hapa jf tunatumia proof. Leta information to prove that Tanzania has longer and better tarmac roads than Kenya. Na usituletee links za Wikipedia hapa
 
Ndinda such cheap pedestrian argument hata wewe unajua unaweza make tu hapa jf.....and not anywhere else.Una shida hadi na freshly planted grass lol......
 
hiyo nchi ina umaskini wa hali ya juu sana.....kujenga permanent house ni miujiza huko kwao.....
They should know there lanes and stick to it. The above, among others, are among the very many reasons why they are ldc and we are not. They won't even respond to the above figures I have fed them with. Washenzi sana hawa
 
Uzuri hapa jf tunatumia proof. Leta information to prove that Tanzania has longer and better tarmac roads than Kenya. Na usituletee links za Wikipedia hapa
Wewe uliyesema Kenya electrification ni 80%, lete evidence kwanza
 
Uzuri hapa jf tunatumia proof. Leta information to prove that Tanzania has longer and better tarmac roads than Kenya. Na usituletee links za Wikipedia hapa
swala la barabara ilo halina ubishi kenya muna barabara mbovu kishenz hasa iyo ya mombasa nairobi
 
Data ya 2016 ni ya zamani?? Hehehe...Ndugu yangu, kubali tu vitu zingine. ni dhahiri kwamba raia wenu wengi hawana stima. Rome wasn't built in a day. sasa kama tangu mpate uhuru miaka hamsini imepita na bado mko 36% sasa mtatimiza universal connectivity within four years? Hiyo itakuwa miujiza kubwa sana kushinda hata zile Yedu alifanya
 
swala la barabara ilo halina ubishi kenya muna barabara mbovu kishenz hasa iyo ya mombasa nairobi



a Tanzanian should not even mention roads in this forum.... .when they build even a kilometre of a world class road they should just cough about roads. ....being ranked LDC si juu ya chuki na fitina.There are certain threshold that are set....if you don't meet them you don't start bashing your neighbours.... and FYI the Mombasa Nairobi highway is being expanded to a dual carriageway ...works already on going
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…