Tulishakaribishwa mara kibao lakini hakuna kitu kilichoendelea baada ya uzinduzi.Mnakaribishwa majirani...
View attachment 3558374
Approaching 20bn dollars jirani bado yuko kwenye 8bn
ana import 20b alafu export 8b 🤣 🤣Approaching 20bn dollars jirani bado yuko kwenye 8bn
Hii ya NMG imewauma sana hawa Nyangau
Ukunduni kuna private Islands kama hizi?We mzee kwani ukona dementia? Umeamua kutuhesabia hadi 4 star hotels. Tangu lini 4 points by Sheraton ikakua 5 star and WTF is Onomo hotel. 😂 😂 😂 😂 Nairobi has more than 30 5-star hotels with over 100 rooms. Big city big things, hii sio kijiji kama Dar is a slum and Zanzibar.
washamba sana hawa nyangaukwamba hoteli ikiwa na room chache haiwi world class 🤣
wanajua zile narratives zao za propaganda hazitapata tena upenyo!Hii ya NMG imewauma sana hawa Nyangau
Huku Tz siku hizi kujenga ghorofa lazima ufanye Geotechnical survey (report), Environmental Impact assessment (report) and Fire report ndio uanze kuomba building permit.Hawa jamaa nilishawaambia waombe earthquake isitokee hapo Nairobi maana itakuwa majanga!
be good 🤣Part of 50k km paved road network
kwahio saaahv kariakoo mpaka airport non stopBRT Phase 3: done n dusted!
View: https://www.instagram.com/reel/DV8BJTclGeC/?utm_source=ig_web_copy_link&igsh=MzRlODBiNWFlZA==
MYAKE
Pale Ukunduni vp?
Mabasi sijui kama yashafika yote!kwahio saaahv kariakoo mpaka airport non stop