Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hebu weka NTV Diamond anapiga kiingereza kitamu sana...kisha Ray C ako Citizen sasa hivi
 
Ungetoa definition bana...labda hatuelewani lugha! !
we vipi? ni nani asiyefaham maana ya estates ndio tufanye kumletea definition? anyway naona uko shy....mi nitaanza bas... mipicha nakuangushia subiri....kisha ufanye kufananisha na yale migrofa ya Kariakoo pale CBD
 
Mimi sijui maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…