na wanvoelekea itafika siku utaskia GDP ya mwaka huu imeliewa na amna atakaeshangaa 🤣huoni hiyo trumpet inavyolia ina maana hawajaona inahitajika mpya?
Sasa tutawashindaje na bado hamjatupa mgao wetu wa msaada kutoka China?hadi uganda wamewashinda, duu
Clarified na wewe Nyamwezi au nani?this was already clarified and it wasnt arusha stadium, but since you want to create self happiness, then go on