Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sisi tunabagua kwenye lugha lakini nyinyi mnabagua kwenye rangi na maumbile ya mtu. Mbona hiyo elimu yenu "bora" hajawazuia kuwinda albino mithila ya swara? Wewe huoni kama hilo ni ubaguzi wa hali ya juu kushinda hata ukabila?
Mbona ninyi ni terrorist state, unawezaje kujiita mnaelimu bora wakati Kenyans are terrorists?
 
Ulitegemea 30$ ikufanye millionaire?
The point is mko na millionaire wengi lakin apo chini wengi juakali
Asante kwa kukubali kwamba tuko na millionaires wengi kuwaliko. Next nataka pia ukubali kuwa tuko na a bigger middle class kuwashinda na kwamba nyinyi ni ldc wakati sisi hatuko huko. it won't make you a lesser man
 
Mbona ninyi ni terrorist state, unawezaje kujiita mnaelimu bora wakati Kenyans are terrorists?
Nitajie hao wakenya magaidi kwa majina moja baada ya mwingine na counties wanazotoka.
Ni dhahiri kwamba umeishiwa hoja
 
Nitajie hao wanaowinda albino mmoja baada ya mwengine, mikoa wanayotoka, ni wazi umeishiwa hoja[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Tanzania inajulikana dunia kote kwa uwindaji wa albino wala hilo sio swala la kudebate
 
Nitajie hao wanaowinda albino mmoja baada ya mwengine, mikoa wanayotoka, ni wazi umeishiwa hoja[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Mmoja wao ni joto la jiwe, mnyamwezi hodari anayejulikana tanzania kote kwa uwindaji wa albino kutumia katika ushirikina
 


dar is slum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…