Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,226
- 107,847
hufanya mambo kwa kushindana yaani wakati EACOP ipo over 80% ndio wanaamka kutaka kuuza KPL Pipeline? Kweli? Miaka yote walikuwa wapi? Wanafanya mambo ili waonekane tu hawataki kuamini Tanga port will be the headquarter of all oil n gas related businesses in EA!