Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,778
- 103,628
Mbeya hamna lililo dogo! Ndiyo wanaenda hivyo!Washamba wa Mbeya City wame experience escalator for the first time in 2026. 😂 😂 😂 😂
sasa si bora hao wanashangaa escalator, kuna watu wanatafuta maji and food sehem 🤣Washamba wa Mbeya City wame experience escalator for the first time in 2026. 😂 😂 😂 😂
Alafu watakuambia ati Mbeya ni city😂😂🤣Washamba wa Mbeya City wame experience escalator for the first time in 2026. 😂 😂 😂 😂
sasa kama mbeya sio city, wale ambao hata food ni kitu cha kushangaa watakua hali ganAlafu watakuambia ati Mbeya ni city😂😂🤣