si wenyewe watashusha isuzu piaFuraha yangu ni kuona Wakunya wakiumia Kwa wivu
View: https://www.instagram.com/p/DTsLVrujGe3/?igsh=MW5tamVnbnltd2JyNA==
hii treni nlishangaa inasimama shambani the time niko uko
Imagine Tanzania is twice the size of Kenya lakini Kenya has more tarmacked road than Tanzania, how can you explain that if not laziness?😂😂That's not enough jengeni another road from dar to bukoba different route, infact that route inafaa kuwa na highway 3 na reginal road kama tano.
Mko n nchi kubwa but NOTHING to show.
yes Motsepe amelazimisha sana uwanja wa dodoma kujengwa just incase kenya wazingue, Mpaka sasa hawalipa hosting feesDuh umefungua mabano 😁