Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Buy kenya ,build kenya

1770928381789.png
1770928394071.png
 
imekuwaje tena?
Kuna kikao kesho kuanzia saa saba, CAF nzima ipo dar pmaoja na wakina Etoo tutaskia kesho majibu yatakuaje ila kwa mambo yanavoenda kuna taarifa nmezipata mkapa wanangoa siti wanaweka mpya ufunguzi ufanyike pale
 
alie karibu na kagame amwambie mapema anahitajika uku, kuna mtu AFCON inaenda kuchukuliwa
1770932169464.png
 
interesting paper 🤣 🤣
1770933245679.png

kuna mtu nyumba bovu linaenda kumuangukia, we are proud of you wazungu weusi 🤣🤣, tukiwaambia kuna life after AFCON walikua hawaelewi
 
Back
Top Bottom