😂😂😂umesema mtu akisha shuka brt apambane na vichochoro mpaka afike nyumbani kwake😂😂😂🙌 ...This is the reason why uber closed in bongoslum. Yani gari haiwezi kufikisha next to your house. Unawachwa 5 kilometers from your house unaanza kupambana na vichochoro.
Ajabu huyu Teargass yeye anaona maghorofa tu kumbe kuna vibanda vichafu vimetapakaa mji mzima🤣ata apa ni nairobi pia 🤣 🤣 🤣
View attachment 3539713
apo ni nairobi 🤣 🤣 🤣 hujaenda kule kwenye njaa sasaAjabu huyu Teargass yeye anaona maghorofa tu kumbe kuna vibanda vichafu vimetapakaa mji mzima🤣
Cc: Mimi Wewe Yule