Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unapinga alafu unataka mimi ndio niweke. definition. Wewe ni wazimu.
Wewe ndio wazimu badala ya kunielimisha kwa kuweka hiyo definition hapa which is a simple thing lakini umeona u take trouble kuandika insha hapa
 
No wonder you are a primary school dropout. Urban roads, rural roads and highway.

But since you are brainless, I'm sure huwezijua hiyo.
Tanzania hatuhesabu urban roads TANROAD deals with trunk roads and national highways
 
Just a quick currency conversation in these two screenshots shows that Tanzanian NSSF has assets worth 490B against Kenyan 580B.

Wewe huna akili, tafuta wajinga wenzako mjadiliane naoπŸ˜‚πŸ˜‚
Onyesha hizo assets 3x NSSF Tanzania. By the way PSSF is even richer than NSSF
 
No wonder you are a primary school dropout. Urban roads, rural roads and highway.

But since you are brainless, I'm sure huwezijua hiyo.
Highways zote hizi hapa hata 4000 km hazifiki! Leta hizo 18000 km zilizobaki simple tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Unataka kusema mna kilometers nyingi za urban roads mara 5 ya highways?

It's always important to remind them where they belong. 🀣🀣
 
Wewe ndio wazimu badala ya kunielimisha kwa kuweka hiyo definition hapa which is a simple thing lakini umeona u take trouble kuandika insha hapa
Nikuelemishe kitu unapinga, wewe zoea ile msalaba yenu pale ubungo.
 
Wewe ni mjinga. Haya ni maongezi ya kibiashara.

"rapid investment in infrastructure, massive capital inflows"

Hizo investments anaongelea ni zipi, vihouse projects?
Wewe ndio unajua kuliko CEO wa ABSA. Fungua bank yako basi ndio tukuskize pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…