Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ndio reason 😂😂😂🙌🏻🙌🏻
tanzania sijui tunaelekea wap

hata marekani na ubabe wake hajawah kuvuka lengo la kukusanya dhahabu na haitatokea mpaka kufa

IMG_0390.jpeg
 
what about a country selling its own state gold reserve hio sio failed state for sure kuna mambo hatuyasemi ila kama nchi yanasikitisha sana na i think tuko kwenye hali mbaya sana how can u sell state gold reserve to finance same projects ambayo pesa zilikopwa over 50trillion tsh within 4 good yrs

atleast tulitegemea pesa zilizokopwa 4 good yrs tuanze kuana some positive returns but kuna miradi hata huoni kama itakuja kukamilika kwa wakat

sio kila kitu ni kusifia tu kama wendawazimu kuna mambo tunafaa kuhoji na kupata majibu
Huu ndo mwendo unafaa east Africa,
Pia sisi hatumpei Rais na serikali yake nafas ya kupumua,
Ruto asipoendeleza uongozi bora na maendeleo unaoturidhisha 2027 anaenda nyumbani.
Hatuwezi kuabudu marais kaa mungu

Lakini maendeleo tunapongeza
 
Back
Top Bottom