Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Afu SGR ya Tz requires $1.2b lakini maguful amepeana only $120million bado anaongea na Zuma, world bank na China.
 
If you and your fellows didn't understand the Toyota joke and how I used it in the statement, how can I expect you to understand the rest of the things I said? Again, the car (country) in front of you is always a Toyota (Kenya). Jaribu kuelewa kidogo sasa ninancho maanisha
 
Are you serious? Eti nchi gani ulaya iko na bullet train? Are you seriously asking this question? OMG! Wewe umekaa hapo ujamaa village unafikiri that is all the world has to offer! Tembea uone ndugu yangu, wacha kujiaibisha mbele ya uma.
Nilikuwa nakusubiri uje na arrogance yako ya Kikenya. Sio kutembea tu nimekaa Ulaya zaidi ya miaka 15! Ulaya hamna BULLET TRAIN....Ziko Japan ni wazi hujui bullet train ni nini. Ulaya kuna electric na diesel-electric na hazijafikia kiwango cha Bullet Train.
 
nyoosha maneno broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hii reli ya tz ni ya kuunga unga... ni kama vile unataka kupika mboga lakini hauna mafuta ya kupikia... ukishapata mafuta ya kupikia tena unakuta hata kitunguu hauna... nyanya nazo hata hujui zitatokea wapi, unaomba mungu ashukishe mvua ya nyanya.... mara unarandaranda kwa majirani kuomba chumvi. ukifika nyumbani nayo unakuta gesi imeisha, unabaki kushika tama.
wananchi wa tz nao hata hawajui reli inajengewa wapi. hakuna plan, hakuna renders, hakuna design hakuna muelekeo.
 
sisi sio watu wasifa ndio maana tunafanya mambo mengi kimya kimya sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ we utashtukia kitu tayari alafu uanze kutokwa povu vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…