Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

ingekua mm ndo ruto ningetafuta tu mji mwingine wa kuanza kuudevelop uendane na modern smart cities, ningeichukua mfano nakuru na kuaanza kuidevelop upya with rail, brt mnaiforce nairobi sana isiachwe nyuma but its poorly arranged
Nchi yenye serikali inakalia jiji lililoanzishwa na Wakoloni miaka 60 baada ya Uhuru haiwezi kuwa na akili hiyo! Kumbuka hata Mombasa ilianzishwa na Sultan wa Zanzibar!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ