Dar es Salaam Uwanja wa Taifa
View attachment 455960 View attachment 455961 View attachment 455962 View attachment 455963 View attachment 455964
ukiwaskiliza wakenya wa jamii foru unaweza kusema kenya ni nchi ya maaana, yaani nko naangalia news leo mpaka nawaonea huruma tena
View: https://youtu.be/lN-IyzJ9MAk?t=2404
Ze most modern stadium in ze whole of Africa😂😂😂🙌...
Time will tell hatupigi kelele SGR ilikuwa hivihvi!Watanzania wanatamani Sana Talanta. Uwezo WA kujenga ndio hawana.
View: https://x.com/i/status/2013962792374518087
wanadai ni sample! 😀 😀
Mtakuja kuomba chakula Tanzania!Huku si praise and worship kama kwenu, kuna UHURU WA HABARI na uwezo wa kukosoa serikali
Hamna news hapo,
Kuomba ama kununua?Mtakuja kuomba chakula Tanzania!
Juu Rwanda walisema Visit Rwanda pia nyinyi mmeona muweke hiyo? Kwani hamna creativity ya kutoa slogan yenu? 🤣 🤣