Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

asante kwa kukubali kua ni bullet train, asante sana
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

wewe ni mmoja kati ya wakenya wachache sana waelewa
kweli bro yani hii Tz ni ya 2017 si ile 90s walioizoea....Ooops pole bro yani ya 2017-2018
 
Kila siku mnalilia design na render sasa kama hujaziona umejuaje ni third class? You sound very bitter, so are you?!
Hawana sehemu ya kuchallenge, kwahiyo lazima watafute uwongo wa aina yoyote ila wabaki kwenye huu mnyukano, wamezungukwa pande zote, hapo ukimuuliza third class maana yake nini, hajui na wala hana habari, hiyo inaitwa Maina and Macharia syndrome, wao ndiyo waanzilishi wa neno first class railway while that of Ethiopia ia second class, lakini hawajawahi kufafanua what is the difference between the two.
 
Nyie ....muezi ipiku Kenya labda 2 simame miaka ishilini
 
Ray c hii leo ameitumia sgr kenya na hata yeye anakubali. Mzukaaa!hapa yuko Nairobee terminus[emoji92] [emoji95] [emoji3]


Boarding bridge nairobi sgr baby[emoji3] [emoji122]
Ray c anasema ni kama yuko london!
 
kigoma,tanzania..what a view.[emoji122] [emoji122] [emoji122]
haya fululiza na picha za Kigoma airport tujifurahishe broπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€the most dveloped country in EA has vibandas for airports
 
sijui nilete picha za modern airports Tanzania...mnaonaje jirani wenzangu?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Amepiga show nyingi sana huku pwani, alikuwa hapa stardust malindi wiki iliyopita, apige hela tuu dada!

Mbugani hapo tsavo east![emoji3]
 
mwite mtz Bongolala ama mdanganyika uone atakavyomwaga povu la OmoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…