Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio umeanza kusoma wewe kijana. Acha kutupigia kelele hapa. Hakuna rika yako hapa. You even don't know what the future holds for you, you might drop out at second year.
 
My end of the year honest analysis…. IF DAR WAS TO TRADE PLACE WITH NAIROBI all Kenyans would shut down their accounts since we would know better. What battle?..Facts!
Happy and Prosperous 2026!..
 
Wakenya wasichojua ni kwamba Dar es Salaam imejengeka kuliko Nairobi
Tofauti ni kwamba Dar es Salaam ni very spread out, tofauti na Naipori ambayo buildings zipo congested sehemu chache

kwa maoni yangu sidhani kama kuna advantage yoyote mji kuwa ''spread out'' kama ulivyoandika in terms of quality of life ya wakazi mji husika, kwani mara nyingi hizo ni informal settlements, kwangu mimi dar imetanuka sana bila ya mpangilio na matokeo yake ndiyo hayo kila kitu hakitoshi, maji hayatoshi, mabasi hayatoshi, barabara ndiyo hivyo kwa maana mji umekuwa mkubwa bila ya miundo mbinu kuufwata, hivyo ni bora mji uwe mdogo lkn huduma zote au karibia zote ziwepo, sasa hivi dar inaungana na bagamoyo wakati ilipaswa kuwe na tofauti kwani ni mikoa 2 tofauti, ukienda upande wa mr rd pia inaungana kibaha ambapo ni mkoa mwingine, kusini nako imeshaungana na pwani na hii ni tanzania nzima ukienda klm mji wa moshi imeshaungana na arusha watu wanajenga lkn hakuna planning, not good kwa maoni yangu.

tuna matumizi mabaya sana ya ardhi, usisahahu hii ardhi inapaswa iwepo kwa miaka 300 ijayo kwa wengine kuitumia pia ...
 
Kuna kenge zinaamini apartments zinajengwa Naipori tu. Kisa huwa haturushi hizi video au picha.
Wapi apartment kwenye hiyo video? I have watched all of it but all I have seen is a road
 
Does Dar es salaam have a skyline? If the answer is yes, are you able to show us a few pictures?
We jamaa ni taahira kweli kwani skyline imepata maana nyingine mpya? Tunduma tu ina skyline

Yaani naislum kuongeza vijengo ushenzi ndio unataka kubadilisha definition ya skyline 😂😂😂
 
Ndio umeanza kusoma wewe kijana. Acha kutupigia kelele hapa. Hakuna rika yako hapa. You even don't know what the future holds for you, you might drop out at second year.
Si ulisema you don't care about my education ama. Hiki nini unaandika. Why are you obsessed with my education so much 😆
 
Hiyo video kama sijakoeea ni ya Upanga. I have said here time and again that Upanga is one of the few places you'd find apartments in Dar, the other ones being Masaki ( Dar's most affluent estate) and few others.

On the contrary, apartments are everywhere in Nairobi ( except in areas with zoning laws like Karen, Muthaiga, Gigiri, Loresho and other high-end neighborhoods).

Kama nadanganya, hebu niletee aerial pictures za Bugurini, Chanika, Madale na maeneo mengine tuone apartments. The truth is, apartments are limited to very few areas and Upanga is just one of them
 
Sawa.
 
We jamaa ni taahira kweli kwani skyline imepata maana nyingine mpya? Tunduma tu ina skyline

Yaani naislum kuongeza vijengo ushenzi ndio unataka kubadilisha definition ya skyline 😂😂😂
Bongolala, so kati yangu na wewe who forces issues nani mjinga?

You said that this picture below does not qualify as a skyline

...and you are now telling us sijui Tunduma iko na skyline. Kwamba a city like Nairobi haina skyline but a village center in Tanzania has one! Is this how blind patriotism can make you u bend?

That's why i asked you a very simple question: does Dar have a skyline? If you can't answer this question then you better keep quiet
 
Io
 
Si ulisema you don't care about my education ama. Hiki nini unaandika. Why are you obsessed with my education so much 😆
Why can't you just chill until that day you will hold a bachelor certificate in your hand? Unapiga kelele hapa yet you don't have anything.
 
Aerial view ya uwanja mpya wa morocco,unaonekana upo mbali sana na mji,nakumbuka kunyan walitucheka sana ule uwanja wa arusha kujengwa nje ya mji
 
Why can't you just chill until that day you will hold a bachelor certificate in your hand? Unapiga kelele hapa yet you don't have anything.
Always nakaa kimya kuhusu elimu, huwa naongea kuhusu Kenya vs Tanzania tu. Lakini wewe kila mara unakuja hapa unaanza kuongelea elimu yangu, wewe ndio unapenda kudiscuss kuhusu elimu yangu. Why?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…