Colonel Augostino Pole pole, alishamuonya jana, achukue nchi, la sivyo ataharibu legacy yake. Hii msg ni kama Ile ya captain Tesha, ila huyu mwamba anacheo kikubwa zaidi jeshini.Mbona huyu CDF anaongea utumbo?
current state video taken 4 weeks back!
Nenda kaandamane wee mzee
Huyo ni Mzee hana mifupa ya kukimbia akiandamana.Nenda kaandamane wee mzee
The army is with the people, but the CDF is still playing games. He's been warned publicly (twice) by Captain Tesha and Colonel Polepole, but he seems to be in bed with Samia.There's something I don't understand. In this Tanzanian protest, is the army with the people ama? Chamoto do you mind clarifying?
It seems Samia Government was unpopular even among the military ranks. If the army is on the people's side then you might have a chance.The army is with the people, but the CDF is still playing games. He's been warmed publicly (twice) by Captain Tesha and Colonel Polepole, but he seems to be in bed with Samia.
You bet.It seems Samia Government was unpopular even among the military ranks. If the army is on the people's side then you might have a chance.
Kuna misinformation sana online kutoka vloggers wa Kenya. Mbaya zaidi vloggers went wamejichimbia au labda wengi wao ni machawa, hivyo YouTuber wakenya na media kubwa za nje kuwa the only source ya kinachoendelea.Watu wa kibera kwa kushadadia na kuongelea mambo ambayo hawajui wamezidii.. vukeni border mje kama mnataka kujua kinachoendelea..
Mbona msitangaze wenyewe jinsi mambo yalivyo instead of being crybabies? Si wote mmehama thread?Kuna misinformation sana online kutoka vloggers wa Kenya. Mbaya zaidi vloggers went wamejichimbia au labda wengi wao ni machawa, hivyo YouTuber wakenya na media kubwa za nje kuwa the only source ya kinachoendelea.
Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?Mbona msitangaze wenyewe jinsi mambo yalivyo instead of being crybabies? Si wote mmehama thread?
Was Magufuli murdered? For what purpose? What was the endgame?Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?
Watu wanaogopa kupotezwa, hata jamaa zenu walipojitia kimbelembele kuja kwenye kesi ya Lissu unajuwa kilichotokea.
Walimuua mpaka rais wetu kipenzi, unafikiri kuna YouTuber au media ya kitanzania itaongelea maandamano? Nyinyi wakenya na kelele zenu zote, hamjafikia umafia wa hawa CCM mtandao labda Iddi Amin na Kagame pekee. Vitu vingine ni self explanatory.
Sisi hatuwezi kubali huo ujinga ama unadhani serikali haijawai jaribu kutufungia mitandao?Sasa unashangaa nini hapo, wakati unajuwa wazi serikali yetu hii ni ya kidikteta?
Watu wanaogopa kupotezwa, hata jamaa zenu walipojitia kimbelembele kuja kwenye kesi ya Lissu unajuwa kilichotokea.
Walimuua mpaka rais wetu kipenzi, unafikiri kuna YouTuber au media ya kitanzania itaongelea maandamano? Nyinyi wakenya na kelele zenu zote, hamjafikia umafia wa hawa CCM mtandao labda Iddi Amin na Kagame pekee. Vitu vingine ni self explanatory.