Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haya, sasa rudia bila kulia😂😂😂😂...
 
Is it not the media's job to amplify it, wewe ndio punguani.
Uwezo wako kiutambuzi ni mdogo.

Wewe ulisema, " Nyakundi is doing more work than the entire..." Ndiyo maana nikasema, kama ni hivyo, unafikiri hizo video anazitoa wapi?

Mimi hizo video nimeziona kwenye social media, kabla ya kuja hapa JF na kuiona kwako, sasa how could he be doing more work that those who on the ground, risking their lives being shot, to make those videos? You see my point?
 
Nyakundi akona watu kwa ground, he is bigger than your mainstream media on reporting the protests.
 
Nyakundi akona watu kwa ground, he is bigger than your mainstream media on reporting the protests.
Dah, we jamaa unanichosha, wacha nikuache niendelee kufuatilia mambo ya maana, ya kutoa huyu muuaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…