Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2017 Kenya 10 - 0 Tanzania

2018 1st quarter Kenya 15 - 0 Tanzania
 
Ujenzi wa pinnacle umefanya Ichoboy kunyamba usiku kucha lol! Hadi wivu umemtia wahaka na kiwewe, iweje wakati huu? Na jee litapokuwa kwenye shamrashamra za Top up naona watu wakijificha mavumbini.
Jueni kwamba this is a SUPERTALL SKYSCRAPER, Jump forming itakapoanza ni 1 floor every 4 days and within 1 year, top up ndio hiyo, just like the salesforce tower.
Mwaka huu ni kichapo kikali!!!! Harariiiiiii!!
 
Watu wanazungumzia kuingiza pesa, wewe unashabikia jumba moja refu, millions wapo kwenye slums dying of hunger, I hope hizi akili hatutoingia nazo 2018. happy new year my brother.
 
Happy New Year Nyang'au Wenzangu.. Keep well and God bless. To our esteemed Southern Neighbors, Happy new year
Kweli wewe Nyang'au na wenzako mwaka huu 2018 mtakimbia hili jukwaa.
 
Kiberians please allow me to wish you a happy new year 2018 resist to remain in slums this year.
 
Pwahahahaha....flyover, terminal na interchange? taja moja ambalo Kenya tarayi halipo....😀😀😀😀
Kuna project za kuondoa aibu ndogo ndogo na project za kutafuta jina. ...
mf Muendelezo wa brt ni kuongeza jina izo flyover na interchange ni kuondoa aibu ndogo ndogo
 
Pinnacle x2
Montave x2
Avic x5
CBK pension x2
SGR phase 2
Industrial park Naivasha
Tatu city
Light Commuter Rail
JKIA double decker highway
BRT system
Outer Ring RD
Eastern Bypass
dude try again😀😀😀😀
Light rail iyo ni 2070
BRT 2080 HaHaha mnachekesha...ntaka uwe na list ya mwaka huu sio porojo
 

kwa kuwa vijana wengi nchini kenya ni majobless,jana usiku azam tv iliandaa onyesho kubwa la burudani ya uchekeshaji pale mlimani city mall linalofahamika kama new year's eve comedy gala.

moja wapo ya comedians waliopewa ajira ya muda(temporary job) ya kuburudisha watanzania ni hawa vijana wawili wa kikenya.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


pia katika onyesho hilo,alikuwepo comedian maarufu toka Nigeria basket mouth.

NB:
kolo na majobless wenzio mje muone vijana wawili wa kikenya waliokuja "kuhemea"(kuganga njaa) dar es salaam na ku-enjoy new year pamoja na watanzania.

BTW hii post nilitaka niiweke tangia jana ila niliacha kwa kuwa nilikuwa kwenye bata zangu na kichwa kilikuwa kizito sana.

kolo niliona ile thread yako ya kijinga unayowabeza wasanii wetu waliokuja kuwaburudisha wakenya huko kwenyu ukidai ati wamekuja huko kisa kenya iko na pesa mingi.

ukweli ni kwamba,wasanii wa kitanzania wanapendwa sana kenya kwa kuwa wakenya hawana alternative ya kupata burudani nzuri ya mziki miongoni mwa wasanii wa kenya.

wanamziki wenyu hawajui mziki.so the only option left for your promoters is to bring in tanzanians since the music that's performed by kenyans is boring.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Happy new year to my fellow Tanzanians and slum dwellers jobless Kenyans
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
 
Happy new year to my fellow Tanzanians and slum dwellers jobless Kenyans

Happy New year Mla Albino na Mwanagovi wa Tandale. Natumahi maisha yakuendee vizuri utoke kwenye vibanda vya makaburini mwaka huu....
 
Professa Amo amewahi kuwa brand ambassador wa startime East africa 2016.
 
Kama ni jobless jana show ya Diamond haingejaa..
Mnasemaga ivo as if kenyans are poor....wakenya wengi wanafikisha 2$ a day than TZ kwa mbali.


don't mind these fellas.....they know we've got more mulla and swag than them by far
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…