Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

View attachment 3481439
😂😂 babu jinga katika ubora wako
Uko na ujinga sana . You think that photo makes me look bad?.. probably there is enough dollars on that table to fix your broken BRT ..😁😁.. Now let’s compare with yours na kiatu moja sitting on a corner begging for change in America…🤣🤣🤣… I live the American dream , wewe ulikuwa hapa ka omba omba …utarudi lini ?...🤣🤣
 
Dodoma zinajengwa ghorofa kibao mzee na bado real-estate industry in Tanzania is way more vibrant than Kenya by far, here we talk about multi-billion and multinational projects, you got none
 
Photo imekufanya uonekane umri mkubwa but akili kisoda,in short aiendani na umri wako babu jinga,our BRT soon will be fixing,hiyo phsse 1 hii oktoba buses 100 zitakua hapo dar,phase 2 tayari buses 200 zipo dar,kazi kwenu nyan*au hayo maslum,mtaanza kuyaondoa hapo naikundu
 
Dodoma zinajengwa ghorofa kibao mzee na bado real-estate industry in Tanzania is way more vibrant than Kenya by far, here we talk about multi-billion and multinational projects, you got none
I like when you console yourselves this much. Talking of Dodoma, hebu tuoneshe hizo ghorofa 'kibao' zinazojengwa. Are you able to list at least 20 high rise buildings under construction in Dodoma?

And did you say your real estate industry is vibrant? Did the word vibrant got a new meaning ama ni kujiliwaza as usual? Hebu show us that vibrancy tuone or at least support your claims with proof
 
Hawana chochote cha maana wakitoka hapo wanatafuta pavement face-lift 😂😂😂
"Hawana chochote cha maana..."
Alisikika bongolala akijiliwaza. Jana nilikupa mfano na commuter rail ya Mombasa which was launched just recently and we decided just to keep quiet about it. Nikakuuliza unipe mji wowote Tanganyika kando na Dar that has a commuter rail network. Bado nasubiri jibu hadi sasa.

You are creating this narrative not knowing that miradi zipo ni vile tu we are not noise makers kama nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…