Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,195
- 107,793
Ile ilikua kujionyesha tu kwa CAF kama wao ndio wanapenda sana mpira,hao kunyan ni wa ushindani sanaVipi Wantam hajatia mkono safari hii?
hutaki data za WB safari hiiStarts zenu ndio za uongo, your manufacturing industry is barely 2B dollars alafunatudanganya hapa ati mliexport.
Tutafika lini aiseeeAfrika, tunasafari ndefu aise, ila tutafika tuu.
He is confused uganda is somewhere in west or central africa.He must be a Baganda! With his Kabaka yeke stuff! Anashindwa kumalizia kwa kusema Baganda iwe national language!
Maendeleo yapo ila yanatokea taratibu, lakini itafika wakati kutakuwa na snowballing effect, ambapo mabadiliko yatakuwa dhahri.Tutafika lini aiseee
Imagine, The USA seeking msaada wa ARVs Tanzania. 🚮View attachment 3480689
Nchi tajiri mkaomba dawa za TB kwenye nchi maskini
Mibongalala kwa kujifariji hamjambo 😂 😂Ile ilikua kujionyesha tu kwa CAF kama wao ndio wanapenda sana mpira,hao kunyan ni wa ushindani sana
Mibongalala kwa kujifariji hamjambo 😂 😂
Nchi imetokea mara kibao kwenye Hunger Hotspots halafu wako hapa kubishana na Tanzania hata hawana aibu. 😂😂😂
View attachment 3480683
Na watakuja kuwatawala. 😂😂😂
View: https://x.com/TheNairobiTimez/status/1972524964470505587Wasomali wanaidharau sana kunyaland,mdomo umewajaa awapendwi na ukanda wote huu