Pingana na World Bank. Ukipenda uwapigie simu.Umeenda shule na hujaelimika Kiufupi hiyo shule haija kusaidia kitu. 😂😂😂
Informal settlement.
View attachment 3479217
Slums.
View attachment 3479221
Nimeangalia hiyo video, duh 😳😳Tofauti ya hawa Wakunya na kondoo ni harufu. 😂😂😂
View: https://youtu.be/0B_vZCLDs-M?si=BDLanziot3KCMHgF
Huwa tunawaendekeza tu kubishana nao kuhusu slums maana kwenye slums hawana mfano hapa Africa. 😂😂😂Nimeangalia hiyo video, duh 😳😳
Teargass umeangalia hii video uone jinsi Nairobi inadhalilisha Africa. Tanzania hatuna kabisa uchafu huu 🤮🤮
Haya ya kukataa picha za Dar na kutaja miaka mbona tushazoea?Sikatai, mwaka 2009 Dar ilikuwa hivyo, sasahivi tupo 2025 wewe mkazi wa Kibera 😂😂😂
Kweli, Pipeline ni slum. Kuna video ilipostiwa humu jinsi Pipeline ilivyo, despite maghorofa ni pabaya na pachafu. Watu wanaishi mazingira machafu kama nguruwe, takataka zimejaa, chini kuna tope jeusi limechanganyika na majitaka, Na majitaka yanatoka vyooni pia maana yake hayo ni mavi so kuna risk kubwa ya kipindupindu (cholera) ukiishi pipeline.Pipeline is considered a slum in Nairobi ila nyumba zote ni za tofali na bati juu. Tena apartments za choo na bafu ndani View attachment 3479182View attachment 3479184View attachment 3479186
Same as Mathare slum
View attachment 3479198View attachment 3479199View attachment 3479201View attachment 3479202View attachment 3479203
Same as Huruma (also considered a slum)
View attachment 3479205View attachment 3479206View attachment 3479207
Same as Kariobangi (also considered a slum)
View attachment 3479215View attachment 3479216View attachment 3479218View attachment 3479220View attachment 3479222View attachment 3479223
Kawangware the story is the same. Also considered a slum in Nairobi
View attachment 3479226View attachment 3479229View attachment 3479231View attachment 3479233
I can give you so many such examples. Dar has a long way to go
Angalia nyumba za udongo.Hasty generalisation, here it comes 🙍.
ichoboy01 ametuonesha sana picha za maeneo mnayoita premium huko Naipori mfano Westlands. Licha ya kuwa ndio maeneo best ya huko Nairobi lakini takataka zimezagaa kila kona, watu hadi wanachunga ng'ombe in the so called Singapore View attachment 3479228
Nimependa hii picha. Kumbe nyuma ya CBD wameficha hizi takataka kwenye slope 😂😂😂
Kweli, Pipeline ni slum. Kuna video ilipostiwa humu jinsi Pipeline ilivyo, despite maghorofa ni pabaya na pachafu. Watu wanaishi mazingira machafu kama nguruwe, takataka zimejaa, chini kuna tope jeusi limechanganyika na majitaka, Na majitaka yanatoka vyooni pia maana yake hayo ni mavi so kuna risk kubwa ya kipindupindu (cholera) ukiishi pipeline.
Hebu angalia na hii. This is not a way human beings should live 🤮🤮
View: https://youtu.be/0B_vZCLDs-M?si=BDLanziot3KCMHgF
Hiyo coverphoto hapo inapotosha mzee, nilitaka nishangae tangu lini Tanzania ikafanana na Kenya, maana hiyo slums iliyowekwa kwenye cover hapo inafanana na slums za Kenya 😂😂😂In this era of Technology huwezidanganya mtu😂😂🤣.
Now 70% of Tanzanians live like this😂😂👇👇
View: https://youtu.be/28W_1Ct_uyk?si=f0tLRke87Jd0UALM
Hujiulizi mbona huwa wanapost picha za upande upande! 😂😂😂Nimependa hii picha. Kumbe nyuma ya CBD wameficha hizi takataka kwenye slope 😂😂😂
70% Tanzanians live in slums, 40% of Kenyans live in slums.Hiyo coverphoto hapo inapotosha mzee, nilitaka nishangae tangu lini Tanzania ikafanana na Kenya, maana hiyo slums iliyowekwa kwenye cover hapo inafanana na slums za Kenya 😂😂😂
Nilivyofungua video nimeona informal settlement zilezile tu za uswazi ambazo bado ni 100 times better than Uthiru na Mathare, let alone Kibera 😂😂😂
Hawa watu nchi yao ya ajabu sana. Huwa najiuliza hivi inakuwaje nchi nzima imejaa njaa, umasikini na slums halafu wametuzidi GDP. Sipati majibu kabisa. Ni masikini mno hawa mbwa 😂😂😂Wana slums kila county. 😂😂😂
Ni vyema kujifariji 😂😂70% Tanzanians live in slums, 40% of Kenyans live in slums.
Unafikiri ana hiyo akili ya kujua hiyo ni cover photo imetumika kuvutia wajinga kama yeye. 😂😂😂Hiyo coverphoto hapo inapotosha mzee, nilitaka nishangae tangu lini Tanzania ikafanana na Kenya, maana hiyo slums iliyowekwa kwenye cover hapo inafanana na slums za Kenya 😂😂😂
Nilivyofungua video nimeona informal settlement zilezile tu za uswazi ambazo bado ni 100 times better than Uthiru na Mathare, let alone Kibera 😂😂😂
Are you ready to accept the truth?Ni vyema kujifariji 😂😂
Majority of Tanzanians wanaishi countryside, huku watu wapo vijijini wanalima, wanafanya kazi ndio maana huku hatuna njaa
Sasa hiyo 70% of Tanzanians wakiwa wanaishi kwenye slums nani sasa anakaa kijijini kulima 😂😂😂
Akili za kuambiwa changanya na zako
Huna hata pesa ya kuangalia video scammer hii. I can also see you like free things😂😂Unafikiri ana hiyo akili ya kujua hiyo ni cover photo imetumika kuvutia wajinga kama yeye. 😂😂😂
Cape Town SA.
View attachment 3479261