You expect a street beggar to have a passport? 😄🤣🤣Iko wapi passport ya Tanzania apo, speaking of chuki, yn mshindwe kupendana wenyewe kwa wenyewe mje kupenda wageni? Zaidi ya wakenya 50k wameji register kama wakimbizi pale kakuma refugee camp sembuse kuwa beggar? Endeleeni kubagua wakenya wenzenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wivu unawasumbua! Wao ndio wame-block migratory routes na ujenzi wa lodges wa Kindezi!Imagine Media kubwa kama hii. Inapost upumbavu kama huu.
Na walivyo ndezi wakenya wenye asili ya wivu bila kuhoji wanaunga mkono.
552K views · 16K reactions | Tanzanians are blocking wildebeests from crossing to Kenya ~ tour guide Charles Lukokolo. #Earthwise: https://youtu.be/qrHk_iJEbfA | NTV Kenya
Tanzanians are blocking wildebeests from crossing to Kenya ~ tour guide Charles Lukokolo. #Earthwise: https://youtu.be/qrHk_iJEbfAwww.facebook.com
Sasa hizo za wachina mnajifanya mapebari lakini nchi mnaiuza kwa wachinaHivo ndio mlisema kwa Talanta na Kasarani pia.
Hapo ndipo nilipopataka, so, mnaruhusu raia wa kigeni kuingia nchini kwenu pasipo any passport or travel documents? Mbn sisi huku kwetu hamuingii bila docs, hilo ni taifa gn la ki mbwa raia wa kigeni wanaingia tu kama chooni?You expect a street beggar to have a passport? 😄🤣🤣
watchman jamani!😂
Hii nayo itawauma sana. 😂😂😂Kichaka cha athletics nacho tushaanza kukifyeka,simbu kishabeba gold medal huko tokyo
View attachment 3472427
Hadi hapo tayari ameshakubali kuwa nchi yao ni failed state.Hapo ndipo nilipopataka, so, mnaruhusu raia wa kigeni kuingia nchini kwenu pasipo any passport or travel documents? Mbn sisi huku kwetu hamuingii bila docs, hilo ni taifa gn la ki mbwa raia wa kigeni wanaingia tu kama chooni?
What would a watchman like you understand about international agreements like the existing East African Community Common Market Protocol that allows for free movement of people among member states? Have you even heard of such a thing? Huwezi jua coz your arguments are driven by hate. You don't take a minute to reason or think beyond hate. And that makes majority of you hereHapo ndipo nilipopataka, so, mnaruhusu raia wa kigeni kuingia nchini kwenu pasipo any passport or travel documents? Mbn sisi huku kwetu hamuingii bila docs, hilo ni taifa gn la ki mbwa raia wa kigeni wanaingia tu kama chooni?
So stadium kujenga ni kuuza nchi?Sasa hizo za wachina mnajifanya mapebari lakini nchi mnaiuza kwa wachina
Talanta sio PPP wewe refugee. Talanta ni ya wakenya financed by Kenyan loans. Ama siku hizi sijui PPP na bond tofauti ni nini?talanta ni PPP mali ya mchina kama ilivo expressway niliwah kukwambia robo tatu ya majengo makubwa nairobi ni ya foreigners
sio studium tu kila barabara na reli hapo kenya mnampa toll mchinaSo stadium kujenga ni kuuza nchi?
Sawa fundi wa Baiskeli.What's this supposed to mean? Are you doing exactly what I think you are doing?
Making fun of Mechanical Engineering to silence me?
Kama kweli una degree then wewe ni mzee mwenye akili za kitoto, you are not matured enough.
So siku hizi barabara zote Kenya ni toll? Kweli kuwa na IQ ndogo huwa shida Sana.sio studium tu kila barabara na reli hapo kenya mnampa toll mchina
Nani kasema barabara zote wewe chizi nini?So siku hizi barabara zote Kenya ni toll? Kweli kuwa na IQ ndogo huwa shida Sana.
Yeye mwenyewe hana passport 😂😂You expect a street beggar to have a passport? 😄🤣🤣
watchman jamani!😂
Kwa hiyo huyu sio wewe? In less than 1 minute you have already forgotten what you typed. Na nikikuita low IQ unakasirika.Nani kasema barabara zote wewe chizi nini?
kila barabara na reli hapo kenya mnampa toll mchina