Kiongozi wa bandari jana kasema,mdhamini m1 tu wa Yanga gharama yake inadhamini vilabu vyote vya ligi ya ukunyan,Yanga ana wadhamini zaidi ya watanoWalikuwa wanatamba kujaza uwanja kwa 200 afcon wakaona wamefika.
Hesabu ya simba
Mzunguko 7,000
VIP C 20,000
VIP B 30,000
VIP A 100,000
Platinum 250,000
Tanzanite 350,000
Kwa hivi viingilio mauzo ya simba day ni above 700mil au ksh 35mil
The highest gate kwa Kenyan league ilikuwa 7.9 mil
Mauzo ya jezi tu kwa ajili ya maandalizi ya simba day ndo bajeti ya KPL kwa mwaka mzima
Aisee mbona kama vyoo?
Hivi Ilikuwa Yanga Daytulia wewe zuwena wa diamond ๐๐
tarehe 16 ndio utajua ilikua copy au original ๐Hivi Ilikuwa Yanga Day
Au Copy ya Simba Day?
Tamasha La Simba Sikuona Mtu akiitaja Yanga
Ila Jana Kila anaye Sema Ni Simba Simba Hivi mna Nini nyie Uto!
Nchi imeoza hiiwatoto wa mkuu wa usalama wa taifa wanachezea pesa nje nje namna hii?๐๐ป๐๐ป
View: https://www.instagram.com/p/DOfWwmRDvik/?igsh=aHpucHIyOW5iZzJ6
Yule bwege tiwages aje aone mkapa ilivyobambahahaha wanajiuliza maswali sasa๐๐๐
View: https://x.com/footballke_90/status/1966732726968430932?s=46
tena vibaya sana mambo yamerudi worse even than kikwete eraNchi imeoza hii
Bomba la taka ๐คYule bwege tiwages aje aone mkapa ilivyobamba