COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Haha hamjielewi kabisa mnajenga railway na towers wakati hakuna lami sehemu za mtwara,mbeya etcView attachment 664348
Tunayojenga ni Reli ya kati dogo siyo reli ya TAZARA. Tanzania ipo na Reli za aina mbili ile ya kati ambayo ni metre gauge ndiyo inayojengwa. Ile ya TAZARA ni Cape Gauge. Unatakiwa uwe mwelewa.
We unajielewa kweli ?? Tower znajengwa na government ?Haha hamjielewi kabisa mnajenga railway na towers wakati hakuna lami sehemu za mtwara,mbeya etc
Eeh towers zote dar inajengwa na govtWe unajielewa kweli ?? Tower znajengwa na government ?
Hamna official confirmation about heightndo tatizo lako, unatumia akili ya kawaida! Tumia akili ya shule!!
kwa sababu Tanzania ni nchi kubwa sana, inapakana na nchi 6 zisizo na bandari. Mahitaji yamekuwa mengi kwahiyo miundombinu inabidi iongezwe.Kwa nini mnajenga ingine Tena??
Taja mfanoEeh towers zote dar inajengwa na govt
Capital town ya Nchi Fulani hawana kama Hii.I love Mombasa
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]None of your business! Nyang'au wamekula nini yako? Both slums and flyovers are ours. Your bongolala-land needs your half-baked elimu duni no more than a step across the boarder. Keep your lane
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Cha kushangaza, wakati namjibu huyu sikujua kwamba ameshajibiwa ila baada ya kuitundika ndiyo nikaona ya kwako ukiwa na mawazo yale yale niliyofikiria.
Na hawana hopes kuipataCapital town ya Nchi Fulani hawana kama Hii.
Happy New year in advance Nyang'auI really pity the entire bongolala-land if the ilk frothing on this forum is the country's elites! Iko shida!
Mbona unajidanganya hivyo Mtandao wa barabara sasa hivi ni nchi nzima. Ni maeneo machache sana ujenzi unafanyika.Haha hamjielewi kabisa mnajenga railway na towers wakati hakuna lami sehemu za mtwara,mbeya etc
Haha hamjielewi kabisa mnajenga railway na towers wakati hakuna lami sehemu za mtwara,mbeya etc
Shida yenu ndiyo hiyo, kukimbilia sifa za kujulikana Marekani wakati hata chakula hamna, mnalala kwenye mabanda kama nguruwe, ndiyo sababu wanaume wa Kenya mnaolewa kwa wingi huko Marekani kuliko wanawake wenu wanavyoolewa hukoMnamaneno mengi kama chiriku....na nikienda.San Francisco.. Niulize Tanzania.. Wa tajibu which kind of animals is that...yani ata Congo in famous kushinda tz