Barabara kama ya Morogoro Mkundi sheli.city ya matajiri 😂😂😂😂
hawa ndio wanakaza mishipa ya fuvu kushindana na dar 🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
View attachment 3454278View attachment 3454279View attachment 3454281View attachment 3454282View attachment 3454283View attachment 3454284View attachment 3454285View attachment 3454286
Ila jamani Mkapa nzuri aisee, kama Emirates mwanangu 😍😍😘😘🥰🥰🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Finishing kumbe na huyu kaona
Umetembea mji Gani Kenya ukapata information ya kusema haya?Nyie mnatuweza kwa side walks? 🤣🤣🤣 idadi ya km za side walks zilizopo Dar zinatoshana kuweka in 3 three different cities hapo kunyarenda.. no tanzanian will brag of having them here. 🤣🤣🤣 nyie mkipata side walks kidogo taifa zima linafika kushangaa. Wewe ukiwa mmoja wapo pumbavu zako. 🤣🤣🤣
Kunyan akifika TZ akili ndio uwakaa sawa,kuna kile kidada chao kiharakati,kiliishia JNIA tu pale kilienda kuhadithia kwao how JNIA iko poa
Umetembea mji Gani Kenya ukapata information ya kusema haya?
Mahesabu yamekataa! Wameshindwa ku-cook Vitabu!Ukipika sana baadae unaumbuka
🤣🤣🌽
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1960537763691778070?t=h909LW268j-bYOqk8yanFA&s=19Kutoka 500mil mpaka 12 bil
View: https://x.com/moneyacademyKE/status/1960342186379100416?t=kdLUsOx5_sQRYm3MQ7iZ0A&s=19