Truth be said hiyo barabara ilijengwa sub standard acheni kumsingizia Kasongo kila kitu. Kuna ombwe kubwa sana la management kwenye wakala wa barabara kenya.ππππ makarai ya vitumbua
View: https://x.com/itskipronoh/status/1928020314224472248?s=46
MaviiiiHii michezo siyo kila nchi zinaweza only Tanzania. Wanaojaribu wanishia kuandamana
View attachment 3452343
View attachment 3452344
View attachment 3452345
View attachment 3452346
Jihurumie mwenyewe na msubiri rufaa yenu CAFSijui nicheke ama nikuhurumie.
Wanafikiri hatujuiπNow lets us come to the reality on the ground
View attachment 3452367
View attachment 3452368
More than 60% of residents in the wealthiest county in GDP terms (Nairobi) live in slums despite hizo rosy tarakimu za karatasi
Nakumbuka nilivyo post hizo ambulance akawa anabisha kuwa sio kwao. πππWe mbwa unatuletea something 2014
11 yrs ago, leo 2025?
Wakati nyie mnayo 2025 kabisa wazee wa 30yrs ahead?
Unafikiri sisi ni Mafala wa kustuck na upuuzi, like ngara ngara, chai maharage.
Hapo Mwanza now tunaequip mpaka Ambulance Boat
View: https://youtu.be/lD_JledFZ_w?si=ZeDdmd5cqRpiE57W
Dunia yote inajua hali yako mdogo wangu π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Nenda Mombasa utapata watu wa hali yako.Maviiii
Now we know zile record za number zao za medical centers zinatokea wapi. π€£π€£π€£ sitawahi kutulia maanani data zao ever again. π€£π€£π€£π€£
Actually it's 90%Now lets us come to the reality on the ground
View attachment 3452367
View attachment 3452368
More than 60% of residents in the wealthiest county in GDP terms (Nairobi) live in slums despite hizo rosy tarakimu za karatasi
Umetafuta na tochi, sivyo?π
So unataka kutuambia kwamba jiji lenu la pili Mwanza halijakuwa na hitaji ya flyovers? Wacha kutetea uzembe wenu wa maendeleo.Eleweka wanajenga panapo hitajika au ili mradi wanajenga itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma na upigaji maake huezi niambia unaenda kujenga flyover kigoma na mahitaji yao siyo flyover kila nchi ina vipaombele vyake usirudie ujinga kama huo tena hapa
Napenda sana mnavyojifariji π€£π€£π€£Estates kwetu ni kama Quarters too sehemu za watu maskini.
Hii Samia housing scheme ndio mnakaza nayo matako hapa kila siku! Tanzanians must mention it every time this issue of housing projects comes up. Don't you have other housing programs in Tanganyika?Samia housing scheme ni matako yako?