The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Mechi yao ya jana ilikuwa na matokeo matatu pia, kenya kufungwa, kenya kutolewa au kenya kutofuzu.Ushamba kwenye sports unawasumbua. Football ni burudani siyo vita. Ipo na matokeo matatu. Na kwa mchezo wa jana ilikuwa na matokeo mawili tu.
Kama hamyapendi ma slums si muyavunje alafu muone familia zitakazokaa mtaani zikiwa homeless, robo tatu (¾) ya wakazi wa nairobi hasa wakenya weusi ni slum dwellers, ndo mana mna mahasira muda wote. Hata wewe uliyeandika hapa kwa asilimia kubwa ni slum dweller.Uko na shida ya low self-esteem na low confidence,any challenge unakimbilia slums tu kujifariji,huna lingine.
🤣🤣🤣🤣🤣Umeshinda
Tulitegemea dar es salaam yenye population ya over 7mil ambao hawajasoma na ni maskini wa kutupwa ndo wangekuwa wanaongiza kwa kuwa nyumba za bati zisizokuwa na sewage system za kueleweka ila Kenya yenye gdp kubwa ndo inaongoza duniani🤣🤣🌽Umeshinda
You mean the famous Kigamboni ghost town?..🤣🤣Kwa Kenyans wanaodhani shobo ni ESTATES na SMART CITIES.
Tanzania estates hazijawahi kiwa na mafaniko.
Hii ni Kigamboni👇👇
View: https://youtu.be/VPmaIBsRcb8?si=667mywtRzBuk_ycf
You mean ndiye huyu ?… jameni ..🤣🤣Wewe uko wapi mbilikimo?
Kigamboni alone ni zaidi ya NairobiYou mean the famous Kigamboni ghost town?..🤣🤣
Huoni hata aibu mna ardhi mara mbili yetu ilhali mmetuzidi na 10% only
You need a family intervention…You are off the rails..🤣🤣🤣Kigamboni alone ni zaidi ya Nairobi
Tulitakiwa tuwazidi asilimia ngapi?Huoni hata aibu mna ardhi mara mbili yetu ilhali mmetuzidi na 10% only
🤣🤣🤣🤣You mean ndiye huyu ?… jameni ..🤣🤣View attachment 3450357
Mngefika kwanza huku . Ningetamani nione timu moja ya Kenya ambayoCAF wanatambua mahali game za maana za afcon zitakapochezewa
View attachment 3450374