Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimeitizama na serikali ipo kwenye mpango wa kuiboresha hayo maeneo. Au nikuletee picha kuanzia palipoanza kuboreshwa?
Mimi hata siongelei tandale,manzese ama slums.

Naongelea kuhusu Dar inavyoo sambaa bila mpangilio.
 
Ati matatu Politics. Yaan kenyan state inashindwa kufanya Maendeleo kwa kuogopa few individuals. Au mmeshakuwa failed state. Yaani wananchi wa Nairobi zaidi ya 5 million wateseke kwa sababu ya matatu owners less than 50 people

Si mje mjifunze Tz, wanafanyaje na daladala owners. Come and learn. Keshokutwa hapa daladala za kilwa road zinaondolewa wakiintroduce BRT system phase 2, njoo mjifunze latra wanavyowaacommodate bila manunguniko.

Tatizo mna ego. Badal ya kucalm down na kulearn mnaanza fake propagandas against your neighbours
 
Was 60k on record till recent when numbers got twisted after Talanta capacity was announced. Anything to satisfy your vulnerable, delicate and soft egos .
Thank you for accepting that your new football stadium being built with a loan and bond Tarotu cannot come close to our stadium we built in the past.
 

View: https://youtu.be/fJKwmNvevTo?si=IWOsDXHFXu-1GY_EJaribu ku-compare

View: https://youtu.be/rq8Qi4LFweo?feature=shared
View: https://youtu.be/PO_ULluZ6DA?si=JyrtMaustRBT4DxT
 
Mimi hata siongelei tandale,manzese ama slums.

Naongelea kuhusu Dar inavyoo sambaa bila mpangilio.
Kuwa specific ni maeneo gani unayohisi sasa hivi yanajengwa bila mpangilio sababu tandare , manzese na the like ndo kulikuwa kuna mpangilio wa ovyo kuwahi tokea.
Tukumbushe tu sasa hivi watu wengi hawajengi bila consultation ya mipango miji sababu ya hofu ya kubomolewa
 
Hiyo ndio informal settlements za Dar, plus factories.

Ukiona inalingana na Huruma au kawangare??
 
Dadadala za mbagala tu zinaibeba Nairobi nzima , hawa tukiwaambia kuna watu wanafleet mpaka za mabasi 100 hawatakibali
 
🤣🤣 unaeza tuonyesha any 20k seats capacity in Tz enye tunajenga kama unavyodai.?

Mimi nitakuonyesha uwanja kama huo tunaojenga with no running track. 🤣🤣
Your 3 stadiums in Dodoma, Arusha and Zanzibar all have a running track. I have personally been to one of them. You've probably been to none.
 
Tulia wew. Unabishana na media zenu.

Subiri nakuletea thika road yako bila sidewalks
Media =/= Factual. If that still eludes your comprehension, then perhaps this discussion is beyond you. The current CBD of Nairobi is defined by Haile Selassie Avenue, Moi Avenue, University Way, and Uhuru Highway. Once the Railway City project is completed, the CBD will be expanded to encompass Upper Hill, Railway City, the Kijabe Street area, the University of Nairobi Main Campus, and Commercial (The area between Moi Avenue and Kirinyaga road where Kenya Archives currently sits). There it is—laid out plainly for you.
 
Was 60k on record till recent when numbers got twisted after Talanta capacity was announced. Anything to satisfy your vulnerable, delicate and soft egos .
talanta is 48k cry then 😂😂😂
kwan ww ulikua hujui kama mkapa ilikua kwenye huge renovation na imechukua only 13m usd wakat kisirani imechukua over 58m usd

akiki haikai kwa makende inakaa kichwani punda wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…