Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwani hawa waandishi wa kenya ni lazima waandike among the poorest countries in the world? Huu ni uandishi wa BBC, CNN na nchi zingine za Ulaya zilizotumiwa tangu wakati wa ukoloni kuichafua Africa, wakenya nao wamefuata mkondo huo kuichafua Tanzania.

But tulishawazoea.
 
Nobody watches Azam in Kenya. And talking about decoders, are you aware Kenyans owns double the number of decoders as Tanzania. Hakuna Kitu mtawaitufikia nyinyi.
Hapo ndipo mnapofeli. Sisi mpira umepaa sababu ya Azam, nyie kama mnge embrace Azam ingewasaidia sana kukuza mpira wenu.
 
Huwa unalazimisha sana niwe kwenye level zako za umasikini, ushamba na ujinga.
Hivi vitu navijua kabla haujaja mjini.
Punguza shobo, unadhani kuweka hizo emoji nyingi za kucheka ndo kutakufanya uonekane relevant, lahasha!


View attachment 3443912
You can't be in my level you Scammer. I started using Waka hata before uanze kuvaa panties.


As you try to order wengine wetu tulishapurchase kitambo Sana. To make it worse you are dealing with a third party instead of Waka direct, typical scammer🤣🤣😂
 
Shindano la Miss Grand Tanzania limefanyika jana, wamepatikana washindi. Warembo 7 wamepatikana na wataenda kutuwakilisha Tanzania katika mashindano ya kimataifa.

Sasa nataka kuanza kushusha picha za warembo hao, ninajua wakenya wanaumia sana wakiwaona warembo wazuri toka Tanzania. Kenya hakuna chakula cha afya ndio maana wanawake wa kenya wanafanana na babu zao

  1. Miss tourism international - Miss Grand 2025 Singida
  2. Miss Africa International - Miss Grand 2025 Rukwa
  3. Miss Elite - Miss Grand 2025 Kagera
  4. Miss intercontinental - Miss Grand 2025 Simiyu
  5. Miss Cosmo - Miss Grand 2025 Tabora
  6. Miss Earth - Miss Grand 2025 Mwanza
  7. Miss Grand - Miss Grand 2025 Dar es salaam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…