Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

***** siku prism ikifikisha 34 , times 38 na britam 33 unitag ntakua nasubiriaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

na siku montave na pinnacle zikianza ujenzi pia unitag
sa kweni inshu ni nini??? weka zote 22flrs uridhike.

haya leta list yako ya over 20flrs sasa
 
Acha tabia za kikike wewe. Mbona unaongelea mtu ambaye hajakuongelesha?. Adress me, not depay.
Sijakufuata inbox akipita ataona...issue za kauli za kipuuzi nyie ndio mnaongoza, ww ndio una umama uache
 
Sisi tumesema over 30F mkaomba over 18F. Tunataka over 30F
Weka hapa na mimi niweke. Hahahaha!!
Nimewawekea zenu from a reliable sources numerically, sasa Fanya the same na siyo moja moja za Kenya but zikiwa well arranged from a reliable and credible source.
 
Nimewawekea zenu from a reliable sources numerically, sasa Fanya the same na siyo moja moja za Kenya but zikiwa well arranged from a reliable and credible source.
Anza kwanza wewe kuweka from credible source, maana nyie wakenya hamuaminiki mnajulikana kwa kupika data.
 
Kweli SA wako vizuri sidhani kama wanampinzani sub sahara labda washindanishwe na northern Sahara countries
Hawa tuko pamoja sana sanaaa, SA na KENYA hatuko kwenye list ya LDC.
 

Get me a Danganyikan slave...... I want one.
 
sa kweni inshu ni nini??? weka zote 22flrs uridhike.

haya leta list yako ya over 20flrs sasa
usiwe mjinga wa kuongeza floor sisi sio nigerians sisi wabongo utamdanganya nani hapa???πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…