Traveller D
JF-Expert Member
- Jul 11, 2025
- 2,051
- 5,428
Kwani na wewe ulisoma pia .? 🤣🤣🤣 hili neno uliliona juzi. Kubali ukweliThat's old English, tumeitumia tangu shule ya msingi kama tusi, I find it well applicable to most of u here., kwanza wewe🤣🤣🤣🤣., it's not trendy even., kweli mko down🤣🤣
Hapana sijasoma., zezeta🤣🤣Kwani na wewe ulisoma pia .? 🤣🤣🤣 hili neno uliliona juzi. Kubali ukweli
Unakuanga kiherehere ya kujibu vitu huelewi.Tuko kwenye context kwamba semi assembly inakuwa inafanywa na robots plus human🤣🤣🤣🤣
Nyinyi ni maandazi
.."twat" ni cliche'..,Kwani na wewe ulisoma pia .? 🤣🤣🤣 hili neno uliliona juzi. Kubali ukweli
Acha hasira, kama yule mdogo wako mpumbavu. 😆Hapana sijasoma., zezeta🤣🤣
Nishamalizana na wewe mkianza kuunda engine na chassis niite.Toyota wana assembly plant kubwa sana ya Toyota Hilux in Durban, South Africa. Lakini engines hazitengenezwi South Africa. 😄 Bongolala mambo ya magari huwezani nayo.
Uzuri huwa tunaweza record hiii ni semi automatic Assembly au semi assembly, kaedit sasaUnakuanga kiherehere ya kujibu vitu huelewi.
Semi-automated assembly in the automotive industry combines human workers and machines to assemble vehicles. This approach leverages the strengths of both, offering flexibility and efficiency while addressing specific production needs.
Hako kajamaa kako hype unaweza sema kanaona siku zake.😂😂Acha hasira, kama yule mdogo wako mpumbavu. 😆
That's why I said context is very important.Uzuri huwa tunaweza record hiii ni semi automatic Assembly au semi assembly, kaedit sasa View attachment 3432140
Uachage kukurupuka sasa
Hanaga hoja huyo hajui lolote ni wa kumuonea hurumaHako kajamaa kako hype unaweza sema kanaona siku zake.😂😂
Muda wote yeye hype tu.
😂😂😂😂😂😂 Ndio maana mie nimeachana naye.Uzuri huwa tunaweza record hiii ni semi automatic Assembly au semi assembly, kaedit sasa View attachment 3432140
Uachage kukurupuka sasa
Sasa umejiona kuwa wewe ni mkurupukaji kwamba semi automated na semi assembly ni vitu viwili tofauti🤣🤣🤣🤣🤣That's why I said context is very important.
50% of Nairobi's population are living in slums, not even middle income areas. Uswazi za Tanzania ni middle income areas huko Kenya, but slums in Kenya ni something else. Who thought that palces like Kibera and Mathare exist in this world. LolUkubwa wa Dar ni idadi ya nyinyi vijakazi na uswazi zenu covering 80% plus ya 1600sq km., .., Dar yenyewe ni ndogo., 20% or less of the whole sq km., ama utabisha?.., 🤣🤣🤣🤣🤣.,
Shule HunaThat's why I said context is very important.
Kwa magari haiitwi semi assembly,inaitwa SKD. Munataka kubishana kuhusu magari na hata the correct terms hamzijui. Ndio maana nimekuambia context is very important. Usiwe mjinga.Sasa umejiona kuwa wewe ni mkurupukaji kwamba semi automated na semi assembly ni vitu viwili tofauti🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Kwa magari haiitwi semi assembly,inaitwa SKD. Munataka kubishana kuhusu magari na hata the correct terms hamzijui. Ndio maana nimekuambia context is very important. Usiwe mjinga.
Kwa hivyo SKD sio Assembly?🤣🤣🤣🤣🤣
Unazidi kujidhalilisha ndugu yangu
Skd ni product wakati assembly ni njia ya uzalishaji.
Elimu yako ya wapi weye
SKD (Semi Knocked Down) na semi assembly ni dhana mbili zinazotumika katika uzalishaji na mkusanyiko wa bidhaa, hasa katika sekta kama magari na vifaa vya kielektroniki. SKD ina maana ya bidhaa au sehemu zake kugawanyika sehemu kubwa, kisha kusafirishwa kutoka kiwandani kwa ajili ya mkusanyiko wa mwisho mahali pa matumizi, mara nyingi kwa lengo la kupunguza gharama za ushuru na usafirishaji pamoja na kuunda ajira katika nchi za walengwa. Kwa upande mwingine, semi assembly inaelezea hatua ya kati katika mchakato wa uzalishaji ambapo baadhi ya sehemu zimeunganishwa lakini bidhaa bado haijakamilika. Hii ni sehemu ya mchakato wa ndani wa utengenezaji ambapo bidhaa au sehemu zake husanyiko kwa hatua, kuimarisha ufanisi wa uzalishaji. Kwa kifupi, SKD inahusiana zaidi na usafirishaji na taratibu za biashara, wakati semi assembly inahusiana zaidi na mchakato wa ndani wa uzalishaji na mkusanyiko wa sehemu. Tofauti hizi ni muhimu kueleweka ili kuboresha usimamizi wa mnyororo wa ugavi na uzalishaj
Skd ni product sio processs.Kwa hivyo SKD sio Assembly?
Anyway why I'm even arguing with someone who takes word for word from Google then puts them on a translator then paste it to appear smart na bado haelewi kitu amepost.
Is assembling a product?Kwa hivyo SKD sio Assembly?
Anyway why I'm even arguing with someone who takes word for word from Google then puts them on a translator then paste it to appear smart na bado haelewi kitu amepost.