KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
Hii nayo ni Kali na ya kufunga mwaka.
even kuna cousin yangu amekuja juzi katumia kq anakwambia ndege ilikua tupu yani kila mtu anajichagulia siti ya kukaa ndege tupu kabisa haina watu mpaka alipofika nairobi ikabidi wafanyiwe transfer kwenye fast jet maana wasingeweza kuwafikisha abiria wachache dar yani nimeskitika sana kq inakufa kwa ubishi na upuuzi na sifa zakijinga 😀😀😀😀Yote hayo wanayajua vizuri sana, Dr. David Ndii anawaambia kila mara lakini hawasikilizi, kuna wakati aliwaambia kwamba ni vema hiyo SGR ikaishia Nairobi, kutoka Nairobi hadi Kampala, waikarabati RVR, hawamsikilizi, ndiyo sababu anakua na hasira muda na anaongoza kampeni ya kujitenga.
Kenya wakumbuke kwamba, Geographically ina bahati mbaya sana, kupakana na Somalia, South Sudan na Ethiopia, zote hizo hazina biashara ya maana, badala yake ni vita na maugomvi ya koo za mipakani, nchi pekee wanayotegemea ni Uganda, pia nchi yao Mungu hakuijalia mali asili nyingi kama Tanzania, viongozi wa Kenya walipaswa kulijua hilo na kufanya miradi ambayo uchumi unaweza kuhimili, wao wanadhani kushindana ili kuonekana wapo mbele ndiyo muhimu, ni sawa na Hiace kukimbizana na Range Rover, hata kama imetangulia umbali gani, itapitwa wakati mwenye Range wala hajui kwamba mwenye Hiace anashindana.
Hizo ni under constructionLewis nimeona list wanaeka hadi 10 floors lol
Hamna kitu the more tnaongea the more nawadharauHizo ni under construction
Ukiangalia hyo list hutaona ppf tower ambalo ni 16flr
bro taratibu ujue utwakimbiza sasa hviKitu kiko floor ya 37 na kinazidi kupanda
Na apo wenzetu wakenya hawana ata kaghorofa kamoja juu ya 33 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Acheni kutafuta pesa kwa wizi nyie.. Mnataka Uyo mwanamke aje kukaa na World class Artist? Alija bongo akakaa state house ya Diamond atasahau kabisa kurudi kwao Kenya..Mamboch.
hehehhe sent from iphone 7 imerudishwa kwenye signature dah kudadeki 😀😀😀😀😀😀😀😀Hamna kitu the more tnaongea the more nawadharau
sent from iPhone 7
Lazima uumie maana kwenu hamna over33flrHamna kitu the more tnaongea the more nawadharau
sent from iPhone 7
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro taratibu ujue utwakimbiza sasa hvi
Wazee wa kupenda sifa za kijinga, hawaambiliki wala hawashauriki, muhimu kwao ni kupata sifa kwa gharama yoyote ile.even kuna cousin yangu amekuja juzi katumia kq anakwambia ndege ilikua tupu yani kila mtu anajichagulia siti ya kukaa ndege tupu kabisa haina watu mpaka alipofika nairobi ikabidi wafanyiwe transfer kwenye fast jet maana wasingeweza kuwafikisha abiria wachache dar yani nimeskitika sana kq inakufa kwa ubishi na upuuzi na sifa zakijinga 😀😀😀😀
si unaona vile akili yako ilivo fupi??? unaleta hapa 10flrs na kisha ni Under Construction.... Bure Kabisa wewe. Ungekuwa mbuzi ningekuchinja KrismasiHizo ni under construction
Ukiangalia hyo list hutaona ppf tower ambalo ni 16flr
Thesis umefikisha wapi?Yote hayo wanayajua vizuri sana, Dr. David Ndii anawaambia kila mara lakini hawasikilizi, kuna wakati aliwaambia kwamba ni vema hiyo SGR ikaishia Nairobi, kutoka Nairobi hadi Kampala, waikarabati RVR, hawamsikilizi, ndiyo sababu anakua na hasira muda na anaongoza kampeni ya kujitenga.
Kenya wakumbuke kwamba, Geographically ina bahati mbaya sana, kupakana na Somalia, South Sudan na Ethiopia, zote hizo hazina biashara ya maana, badala yake ni vita na maugomvi ya koo za mipakani, nchi pekee wanayotegemea ni Uganda, pia nchi yao Mungu hakuijalia mali asili nyingi kama Tanzania, viongozi wa Kenya walipaswa kulijua hilo na kufanya miradi ambayo uchumi unaweza kuhimili, wao wanadhani kushindana ili kuonekana wapo mbele ndiyo muhimu, ni sawa na Hiace kukimbizana na Range Rover, hata kama imetangulia umbali gani, itapitwa wakati mwenye Range wala hajui kwamba mwenye Hiace anashindana.
iphone 6s red custom edition( fire resistant)Hamna kitu the more tnaongea the more nawadharau
sent from iPhone 7
Nipo stage za awaliThesis umefikisha wapi?
Hivi ile ndege yenu ipo Canada ita-make direct flight hadi JNIA lini?Wazee wa kupenda sifa za kijinga, hawaambiliki wala hawashauriki, muhimu kwao ni kupata sifa kwa gharama yoyote ile.
Umeona vipi njaa hapa Kenya?Nipo stage za awali
Kumbe hata wewe ukiwa rais wa Kenya utafanya kama anavyofanya Uhuruto, kujilinganisha na Tanzania wakati you don't have muscles for that.Hivi ile ndege yenu ipo Canada ita-make direct flight hadi JNIA lini?